Matajiri kumi Duniani

Matajiri kumi Duniani

Usiniambie wamefanyakazi kwa bidii ndio wamepata hizo hela. Ni ukilitimba tu.
Mtu kama MARK, BEZOS, MA, wana ukiritimba gani ?

- Wanastahili walichopata kutokana na uwezo wao wa kufikiri.
 
Jeff Bezos ndio anaongoza kwa sasa ni CEO wa Amazon kwa kusahihisha tu.

Pesa sio kila kitu, unaweza kuwa na fedha nyingi lakini ukakosa vingine kama afya
Huyu jamaa chini alikuwa tajiri mkubwa wa kampuni ya vifaa vya michezo JJB sports
88f8da683c1a8d879bdc64da91b0de4a.jpg
 
bill gate alisharudi kwenye nafasi yake alipitwa kwa masaa machache tu
 
[QUOTEname kelvin marcus, post: 22904916, member: 440493"]Acha nipambane list ijayo mtaniona hapo[/QUOTE]
Ngoja na mi nihussle kabla ata jina halijatokea niwe baby mama ako,likijatokea nisijesahauliwa katka ufalme wa kutajwa km dem ya msakahela
 
Furaha na pesa ni vitu viwili tofauti....ni uchaguzi wako utafute furaha ama utafute pesa.

Sent from myself
na unaweza kutafuta pesa na furaha pia.. ...hivi nani aliwadanya watanzania ukiwa na pesa unakuwa huna furaha?
 
Back
Top Bottom