MAXY MUSAY
JF-Expert Member
- Aug 2, 2017
- 480
- 201
Baada ya kuangalia hii list nimejiuliza
Je hawa inawezakuwa ndio watu wenye furaha kuliko wote Duniani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi karibun na mm ntaonekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuangalia hii list nimejiuliza
Je hawa inawezakuwa ndio watu wenye furaha kuliko wote Duniani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wanaowazidi?Kwanza sio matajiri top kuliko wote duniani.ni matajiri kumi kwa mujibu wa makadirio ya forbes
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio
Fanya research yako mkuu
Billigate ni malaika waoJeff Bezos ndio anaongoza kwa sasa ni CEO wa Amazon kwa kusahihisha tu.
Pesa sio kila kitu, unaweza kuwa na fedha nyingi lakini ukakosa vingine kama afya
Huyu jamaa chini alikuwa tajiri mkubwa wa kampuni ya vifaa vya michezo JJB sports
![]()
Mkuu wivu na uchawi ni jadi yetu watanzaniaUnatafuta kakisingizio ka kukuhalalisha kuwa masikini kwa kushindwa kuwa tajiri.
- Kwani Ukiwa MASIKINI ndo TICKET kwamba unakuwa na FURAHA ?
Ni kule ikuluna unaweza kutafuta pesa na furaha pia.. ...hivi nani aliwadanya watanzania ukiwa na pesa unakuwa huna furaha?