Matajiri na wanafamilia wengi wa kibongo hawaigi mfano huu wa malezi

Vijana porojo na kelele wakati wazee waleeeeeeeeeeeeee kimataifa zaidi.
 
Mimi kama ningekuwa mengi singekimbilia akina Jackie Mimi moja kwa moja kwa akina masongange. Na kama na miliki vitalu vya gesi vyote nagawa ama eti mimi Rais mbona mtakoma huko kwenye hazina nitamega kama sina akili. Yesu tupe uvumiliv tuu hamna jinsi
 
Huwezi kufanya haya yote bila hela......
 
Pesa!pesa! Kweli pesa ni mambo yote. Dr Mengi anajilia vinono bila kelele. Vijana pigeni kazi,tafuteni pesa,vinginevyo wanawake wazuri mtabaki kuwaita mama wadogo
Ndo michepuko yetu na wanakuja wenyewe Women are complicated bruh
 
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
wewe una Jesus?
 
Didnt you see how he helped people of special groups????? You have to watch your words before you speak out to the public something like this!!!! Watch out
 
This among ov best couple i've ever see in da world mo dan dat ov jayz and beyonce.....
 
Amen,
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…