mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 946
- 771
Masikini ana raha gani...au anavyocheka cheka unadhani ana raha.
"Ngoja azishike hela ndio utajua kama alikuwa ana raha"
"Ngoja azishike hela ndio utajua kama alikuwa ana raha"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If money can buy you hapiness...what is the price tag of that happiness? How much is happiness worth? Pesa hata siku moja haiwezi nunua furaha ya maisha..kiukweli sisi watu wa nje hatuwezi jua kwamba hao watu wanayo furaha...watakua na gulit conscience maana kuacha mke wa ndoa za kikristo na kuoa mwingine huwezi sema unafanya tu sababu huyu alinifanyia hivi au vile na huyo alieolewa kama alilelewa katika mazingira ya kikristo deep down inside her anayo hiyo guilt conscience ya kuparamia mume wa mtu...amini nakwambia...Pesa huleta furaha kwa njia nyepesi kuliko njia nyingine yeyote na hio ndio point ya msingi...
I don't agree with people who say money can't buy happiness because chochote kiitwacho kitu utachopenda kina thamani sawa na kiwango flani cha fedha.Ni utu tu ndio haununuliki kwa fedha which is obviously one out of million things,only one exceptional thing that can rarely be taken into consideration!
If money can buy you hapiness...what is the price tag of that happiness? How much is happiness worth? Pesa hata siku moja haiwezi nunua furaha ya maisha..kiukweli sisi watu wa nje hatuwezi jua kwamba hao watu wanayo furaha...watakua na gulit conscience maana kuacha mke wa ndoa za kikristo na kuoa mwingine huwezi sema unafanya tu sababu huyu alinifanyia hivi au vile na huyo alieolewa kama alilelewa katika mazingira ya kikristo deep down inside her anayo hiyo guilt conscience ya kuparamia mume wa mtu...amini nakwambia...
Ila sidhani kama umereflect nilichokionesha kwenye post ya kwanza hapo...unajua unapokua huna kitu kila kitu ni kizuri...lakini unapokua na kilakitu bado unajihisi huna kitu..."human hierarchy of needs and wants....Can you choose to loose money over ignorance and poverty?
Mind you, the very basic needs of a human are; food, clothes and shelter...These play a basic role as a primary source of happiness which are as well likely to be guaranteed or even made to be excellent by presence of money.
Hayo mengine yametokea baada ya uwepo wa pesa kama maboresho tu ya maisha, they are like peripherals infront of the basic parts of a computer!
KKeep on dreaming...religion is another form of mental illness.
Are you sure money can bring happiness or joy in your life or a peace of mind?You surrender yourself to Jesus withoutmoney then you expect to be joyful..? Those are the words of the people who have failed to reach certain point of success,be strong my dear.
Hahahahahaaa.. its a myth to have happiness without money. Tuache kujidanganya tu. Na pia it is not right kwamba mtu akiwa na hela tayari amemkosea Mungu. Umasikini ni laana, kubali au ukatae. Na Mungu hakutuumba tuwe maskini. Ingekuwa ni hivo ardhi, madini, gas na maliasili zinazeleta utajiri zisingekuwepo duniani ikiwa Mungu hapendi binadamu tuwe matajari. So let stop this misconception. Kuna raha kuwa na utajiri asikuambie mtu. Ila pia ukitafuta usipopata usikate tamaa ridhika tu
Mlima kuangalia kibabu, binti na tutoto tuwiliMfumo UPI?? Wa kupiga picha kuangalia mlima au??
Gweee Jeni, gwee Jeni ugweeeee.Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
Unajuaje kama huko kote alishakwenda na sasa anataka kuwapa watoto exposure nyingine zaidi ya hizo ulizotaja?They said...Every successful black man want to spend his money in the country of his colonial master. What a shame for this phd holder..alishindwa kwenda serengeti,katavi,mkomazi,ngorongoro,kilimanjaro?? Kazi kupaisha ulaya uku afrika for what??
Sure inawezekana,basi ntafutie photo aliyojianika km hiyo akiwa kwy mbuga za kibongo! Then utakua umeniprove wrongUnajuaje kama huko kote alishakwenda na sasa anataka kuwapa watoto exposure nyingine zaidi ya hizo ulizotaja?
Kabla ya ujio wa Yesu matajiri walikuwa vipi?Mtumishi u said it all!!!!!!!Bitter truth only jesus.
ts your opinions [emoji119]Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
Mfumo wa kupiga picha Na kichupi...??
Pesa huleta furaha kwa njia nyepesi kuliko njia nyingine yeyote na hio ndio point ya msingi...
I don't agree with people who say money can't buy happiness because chochote kiitwacho kitu utachopenda kina thamani sawa na kiwango flani cha fedha.Ni utu tu ndio haununuliki kwa fedha which is obviously one out of million things,only one exceptional thing that can rarely be taken into consideration!