Matajiri na wanafamilia wengi wa kibongo hawaigi mfano huu wa malezi

If money can buy you hapiness...what is the price tag of that happiness? How much is happiness worth? Pesa hata siku moja haiwezi nunua furaha ya maisha..kiukweli sisi watu wa nje hatuwezi jua kwamba hao watu wanayo furaha...watakua na gulit conscience maana kuacha mke wa ndoa za kikristo na kuoa mwingine huwezi sema unafanya tu sababu huyu alinifanyia hivi au vile na huyo alieolewa kama alilelewa katika mazingira ya kikristo deep down inside her anayo hiyo guilt conscience ya kuparamia mume wa mtu...amini nakwambia...
 

Can you choose to loose money over ignorance and poverty?
Mind you, the very basic needs of a human are; food, clothes and shelter...These play a basic role as a primary source of happiness which are as well likely to be guaranteed or even made to be excellent by presence of money.
Hayo mengine yametokea baada ya uwepo wa pesa kama maboresho tu ya maisha, they are like peripherals infront of the basic parts of a computer!
 
Ila sidhani kama umereflect nilichokionesha kwenye post ya kwanza hapo...unajua unapokua huna kitu kila kitu ni kizuri...lakini unapokua na kilakitu bado unajihisi huna kitu..."human hierarchy of needs and wants....
 
You surrender yourself to Jesus withoutmoney then you expect to be joyful..? Those are the words of the people who have failed to reach certain point of success,be strong my dear.
Are you sure money can bring happiness or joy in your life or a peace of mind?
 
...oooopss.,nlisahau kuna kiazi nimekiignore ndo mana kuna comments kwangu zinapeleapelea!
....anyway,ila kuna watu wana huruma sana bado!
 
Hahahahahaaa.. its a myth to have happiness without money. Tuache kujidanganya tu. Na pia it is not right kwamba mtu akiwa na hela tayari amemkosea Mungu. Umasikini ni laana, kubali au ukatae. Na Mungu hakutuumba tuwe maskini. Ingekuwa ni hivo ardhi, madini, gas na maliasili zinazeleta utajiri zisingekuwepo duniani ikiwa Mungu hapendi binadamu tuwe matajari. So let stop this misconception. Kuna raha kuwa na utajiri asikuambie mtu. Ila pia ukitafuta usipopata usikate tamaa ridhika tu
 

Kuwa tajiri sio laana bali kutumia njia zisizo za halali kupata utajiri ndio kunako sababisha laana......kwa mfano kuna raha gani kwenye utajiri wa kumuua mama yako mzazi au kumfanya chizi ndugu yako wa damu....!!???
 
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
Gweee Jeni, gwee Jeni ugweeeee.
Ndaga umwambilie Jesu Kilisiti gwa mu Nazareti
 
They said...Every successful black man want to spend his money in the country of his colonial master. What a shame for this phd holder..alishindwa kwenda serengeti,katavi,mkomazi,ngorongoro,kilimanjaro?? Kazi kupaisha ulaya uku afrika for what??
Unajuaje kama huko kote alishakwenda na sasa anataka kuwapa watoto exposure nyingine zaidi ya hizo ulizotaja?
 
Unajuaje kama huko kote alishakwenda na sasa anataka kuwapa watoto exposure nyingine zaidi ya hizo ulizotaja?
Sure inawezekana,basi ntafutie photo aliyojianika km hiyo akiwa kwy mbuga za kibongo! Then utakua umeniprove wrong
 
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.
ts your opinions [emoji119]
 
Teh.. tehe.. Mfano wa kupeleka familia ikatembelee milima ya Alps huko Rhine basin..
 
Being a billionaire without Jesus is nothing. Money only brings a temporary happiness, but in order to have an eternal joy, there's no way other than surrendering your life to Jesus. That's the fact, like it or dread it.

Jane my sister from our respect father Lowassa, even Jesus like the rich men and women! Just find most of the people who attacked by demons are the poor. Fight for money and you will see how people talk about you!
 

That is it! Money is everything! No question here...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…