Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Kama Enzo Ferrari akifufuka leo, atalia kilio cha mbwa. Ferrari ni maarufu kwa v12 ila sasa it’s officially, wanakuja full EV.
Jana, Ferrari wametangaza power terrain, battery na specs za EV yao ya kwanza wanayoiita “Ferrari Elettrica“!
Itakuja na jumla ya motors nne, mbili mbele na mbili nyuma, zikitoa jumla ya 1,000+ hp.
Battery linakuja 122kWh lenye range ya 530 km likiwa full charge na lina charging system ya 800v architecture yenye kuchaji hadi kwa speed ya 350kW.
Soon chuma inakua officially.