Matajiri uchwara wataivuruga Yanga

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kila mwenye nia njema ya kuisaidia Yanga aonane na kocha wa Yanga amweleze ni mchezaji gani anahitaji nini kama hatuwaamini viongozi waliopo. Tusisubiri kuhangaika na wanaogomea mechi, it will be too late to help.

Hii itasaidia kudumisha umoja ndani ya clab na miongoni mwa wachezaji
 
Umenena kwani wajumbe waliopo ni matapeli kwanini wanashindwa kuondoka wakati hawana uwezo? Jibu ni WEZI!!
 
Umenena kwani wajumbe waliopo ni matapeli kwanini wanashindwa kuondoka wakati hawana uwezo? Jibu ni WEZI!!
Viongozi waliopo wamekosa mbinu ya kuwalipa wachezaji madeni yao na wanaoletwa na TFF hawaonekani kama watu wanaokuja na mbinu mpya.
 
Vilema wanaongoza vipofu. Akili zao zimeishia hapo.
 
Wauze tickets 1000 kwa shs milioni moja kila ticket.
Hizo ziwe tickets za kuangalia mechi yeyote Ya Yanga Dar es SALAAM (Mchina. chamazi. uhuru) kwa mwaka mmoja.
Tickets ziwe zimenunuliwa kabla ya March,31 na pia utapata merchandises kama vile Jerseys na nembo zingine za Yanga.
Mimi nitanunua moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…