KiwandaniTz
Member
- Jan 8, 2019
- 44
- 38
JF najuwa kuna watu mnauwezo wa kufikiria sana. Poleni na majukumu yote. Poleni kwa wote mnao pitia kipindi kigumu cha maisha na changamoto za kiafya mungu awepe wepesi.
MADA KUU.
Hivi kwa nini matajiri wengi asilia yao sio watanzania , Top 10 ya matajiri Tanzania wapo wawili tu,wengine hao asili yao ni waarabu na wahindi tu .
Wakati ukiangalia sisi wazawa ndio tunamiliki rasilimali nyingi sana na vyanzo vya hela lakini bado tunatupwa mbali sana.
hata matajiri wetu wa kati unakuja yeye ni tajiri lakini ndugu ni maskini wa kutupwa .
Swali.
SISI TUNAKOSEA WAPI ?JE TUFANYEJE ILI TUWE VINARA?
AU UNA MAONI TOFAUTI TUAMBIE .
TOA MAONI YAKO TUJITAMBUE.