Matajiri wa asili ya Tanzania

Matajiri wa asili ya Tanzania

20 Jan 2017
Mfahamu tajiri namba moja Tanzania mzalendo Mr. Sabodo mwenyeji wa Mtwara .

Source : Inawezekana TV
 
Jiulize kwanza kwenu ukoo wenu pande zote matajiri wapo wangapi na kwann hamjaambukizwa utajiri huo
JF najuwa kuna watu mnauwezo wa kufikiria sana. Poleni na majukumu yote. Poleni kwa wote mnao pitia kipindi kigumu cha maisha na changamoto za kiafya mungu awepe wepesi.

MADA KUU.
Hivi kwa nini matajiri wengi asilia yao sio watanzania , Top 10 ya matajiri Tanzania wapo wawili tu,wengine hao asili yao ni waarabu na wahindi tu .

Wakati ukiangalia sisi wazawa ndio tunamiliki rasilimali nyingi sana na vyanzo vya hela lakini bado tunatupwa mbali sana.
hata matajiri wetu wa kati unakuja yeye ni tajiri lakini ndugu ni maskini wa kutupwa .

Swali.
SISI TUNAKOSEA WAPI ?JE TUFANYEJE ILI TUWE VINARA?
AU UNA MAONI TOFAUTI TUAMBIE .

TOA MAONI YAKO TUJITAMBUE.
 
Kishimba tajiri asiyejulikana / Nyumba ya Nyasi, Baiskeli na Daladala ndio Usafiri wake

Katika list ya wabunge 10 Matajiri huyu anaweza akashika Namba 1 Elimu yake ni Darasa la Saba. Ni mmiliki wa #darfreemarket na #lamadahotel na pia anamiliki viwanda ndani na nje ya Tanzania na pia ni mfanyabiashara mkubwa sana kwa Dodoma ana Nyumba zisizopungua 200 ambazo nazijua Mimi.Ila sasa cha kushangaza Usafiri wake mkubwa ni Tax, Daladala, na Bodaboda na pia akiwa Jimboni kwake mara nyingi hupenda kutumia Baiskeli. Toa maoni yake hapa kwa wanaopenda showoff

Source : Ngasa TV

Utajiri wake utakuwa wa ngende huyo! How come! Uwe na miela kindibwandibwa alafu eti utembelee baiskeli kweli😯 sasa ina maana gani ya kuzitafuta hizo hela, ili iweje.. au ukatumie mbinguni! Mtu kama huyu nna wasi wasi hata kulala analala chini na sio kitandani.. usifanye mchezo na mashrt ya mganga!
 
Nikupe jibu.Nyerere na sokoine awakutaka watz wawe matajiri walipoleta sera za ujamaa kwa kuzitaifisha Mali za watz,kuwapa kesi za uhujumu uchumi waliokuwa na Mali lengo kuu lilikuwa ni kuwafanya wawe masikini ili waweze kutawala.Ukisoma historia ya mkoloni wapo weusi wengi tu walikuwa na mali mkoloni hakuwa na shida na mswahili kumiliki Mali.

Sera za ujamaa ziliwafanya watu waaminishwe kuwa tajiri ni dhambi umasikini ni uzalendo copy na paste na idea ya kuwashusha matajiri wawe masikini,kukaza vyuma, kusomeshwa namba nk zote ni ideology za ujamaa.India ilikuwa ni koloni la Muingereza hivo aliwaleta east Africa yaani alianzia Kenya na Uganda tz alikuwepo mjerumani Kama mainjinia wa kujenga reli, viwanda na miundombinu mingine,hivo mjerumani alipofurushwa na Muingereza nchini akawatumia wahindi Kama alivowatumia Kenya na Uganda.

Wahindi walipofika Africa mashariki tuseme tz waliikuta Mali wakaanza biashara ya usafirishaji,kuuza bidhaa, viwanda vidogovidogo,za majengo nk wakawa matajiri kumbuka wao ujasilimali walianza tangu miaka ya 200 iliyopita.Baada ya Uhuru waafrika, waarabu, wahindi waliendelea na shughuli zao za biashara nk.

Yalipokuja mabadiliko ya kutakiwa uchumi usishikwe na watu binafsi Bali dola ili iwe rahisi kuwatawala watu.Hao matajiri walio wajanja waliwahi kuukimbiza mitaji yao nje ya nchi ili wasifirisiwe kwa waswahili ikawa ngumu waliofanikiwa ni wachaga wao walizikimbizia utajiri wao Kenya ili wasifirisiwe waliokosa nafasi sababu ya mazingira ya umbali wa nchi jirani wao walifilisiwa.Alipoingia Mzee wa ruksa watu wakiwa hoi wamepigika kiuchumi.

Ndipo waliokimbia nje wakairudisha nchini mitaji yao hasa toka Kenya wakapiga utajiri wa kutosha kwa kuingiza bidhaa toka wakakuta kuna demand ya bidhaa nchini hatari.

Ndo kina Mengi wakaanza kuchomozachomoza,na wachaga wakaanza kutajirika kwenye biashara ya mabus,malori,maduka, hotel nk.Huku wahindi na waarabu wakiingiza mitaji yao nchi ambayo waliikimbiza nje.
At least umedadavua kisomi.
 
Sina hata moja, ila mada inahusu matajiri wenye hadhi ya kuitwa top 10 ambao wengi wao utajiri umezidi trilioni 1 ya kitanzania ama unakaribia. Hivyo unapoleta Lori 100 si utani huo?
Umemlisha maneno mleta mada, hajasema utajiri wa kuanzia kiasi hicho ulichokisema (>= 1 trillion).
 
Sina hata moja, ila mada inahusu matajiri wenye hadhi ya kuitwa top 10 ambao wengi wao utajiri umezidi trilioni 1 ya kitanzania ama unakaribia. Hivyo unapoleta Lori 100 si utani huo?
Mkuu mbona Kama umemlisha maneno
 
Utajiri wake utakuwa wa ngende huyo! How come! Uwe na miela kindibwandibwa alafu eti utembelee baiskeli kweli😯 sasa ina maana gani ya kuzitafuta hizo hela, ili iweje.. au ukatumie mbinguni! Mtu kama huyu nna wasi wasi hata kulala analala chini na sio kitandani.. usifanye mchezo na mashrt ya mganga!

Amejieleza vizuri kuhusu huo mwenendo wake wa kuishi kama wanyonge wengine wakati ni bilionea.
 
Josephat E. Mwingira
HII NDO NDEGE YA BABA YETU MTUME NA NABII JOSEPHAT E MWINGIRA ILIPOTUWA KIGOMA MUNGU NI MWEMA

Source : News Online TV
 
Mkuu mbona Kama umemlisha maneno
Umemlisha maneno mleta mada, hajasema utajiri wa kuanzia kiasi hicho ulichokisema (>= 1 trillion).
Namquote mtoa mada

MADA KUU.
Hivi kwa nini matajiri wengi asilia yao sio watanzania , Top 10 ya matajiri Tanzania wapo wawili tu,wengine hao asili yao ni waarabu na wahindi tu

Hiyo ndio mada yake kuu na amezungumzia top 10 kama standard ya huo utajiri

Ukiangalia Top 10 Tanzania Watu Kama Mo, Rostam, Bakhresa, Marehemu Mengi, wote walizidi Trilioni 1 na hata wanaowafatia kwa Nyuma pia wana utajiri unaokaribia hio trilioni.
 
1) Wapo serious zaidi katika fursa na Biashara kuliko sisi

2) Elimu yetu inatuathiri kwa kutuandaa kuajiriwa badala ya kujiajiri

3) wana exposure kuliko sisi, wanatoka sana kwenda katika nchi zingine hivyo wanapata connections

4) Wanajali kurithishana utajiri / Mali na namna ya kusimamia na kuendesha. Mfano utajiri wa

Granddad -> Dad -> Son
 
Neno...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
JF najuwa kuna watu mnauwezo wa kufikiria sana. Poleni na majukumu yote. Poleni kwa wote mnao pitia kipindi kigumu cha maisha na changamoto za kiafya mungu awepe wepesi.

MADA KUU.
Hivi kwa nini matajiri wengi asilia yao sio watanzania , Top 10 ya matajiri Tanzania wapo wawili tu,wengine hao asili yao ni waarabu na wahindi tu .

Wakati ukiangalia sisi wazawa ndio tunamiliki rasilimali nyingi sana na vyanzo vya hela lakini bado tunatupwa mbali sana.
hata matajiri wetu wa kati unakuja yeye ni tajiri lakini ndugu ni maskini wa kutupwa .

Swali.
SISI TUNAKOSEA WAPI ?JE TUFANYEJE ILI TUWE VINARA?
AU UNA MAONI TOFAUTI TUAMBIE .

TOA MAONI YAKO TUJITAMBUE.
Mind set ya mwafrika aanaishi chini ya Jangwa la Sahara ndivyo ilivyojijenga au kujengwa na waliotutawala

MWafrika anawaona watu wasio Waafrika hi Bora kuliko Mwafrika mwenziwe..

Waafrika watahiyari wamfanyie roho mbaya Mwafrika mwenziwe kuliko mtu mwenye

Mfano:Benki itahiyari imkopeshe Muhindi au Mwarabu kuliko,Mzawa, kwavile wanaamini kuwa Mwarabu au Muhindi atalipa
 
24 Jan 2020
Bilionea mpya utajiri US$ 25,000,000
Nchini Tanzania Kijana Andron Mendes agonga vichwa vya habari baada ya kuuza kampuni yake ya Kopa Gaz kwa wawekezaji kutoka Uingereza

Source: VOA Swahili
 
Josephat E. Mwingira
HII NDO NDEGE YA BABA YETU MTUME NA NABII JOSEPHAT E MWINGIRA ILIPOTUWA KIGOMA MUNGU NI MWEMA

Source : News Online TV

Source ni sadaka na michango ya waumini,wao ni mabilionea wakisaza Hali waumini wao ni dhoofu hali
 
Mind set ya mwafrika aanaishi chini ya Jangwa la Sahara ndivyo ilivyojijenga au kujengwa na waliotutawala

MWafrika anawaona watu wasio Waafrika hi Bora kuliko Mwafrika mwenziwe..

Waafrika watahiyari wamfanyie roho mbaya Mwafrika mwenziwe kuliko mtu mwenye

Mfano:Benki itahiyari imkopeshe Muhindi au Mwarabu kuliko,Mzawa, kwavile wanaamini kuwa Mwarabu au Muhindi atalipa
Watu weupe ni waaminifu sababu wanajua dhuluma utofika mbali ni sawa na kuchoma Moto nyumba huku ukiwa ndani.
Mfano halisi ni ndugu,marafiki zako wangapi wamekupiga kwa kukosa uaminifu?Hao wote wanamifumo ya kusaidiana mtaji wako ni uaminifu wako.
Unapenda biashara ya mabus unaenda kwa wauza mabus unajidhani unapewa,unapenda biashara yeyeto unadhaminika bure unapewa mtaji unarudisha percentage kiwandani,au dukani.Una kipaji wapo watakaokuendeleza,kazi yako wwe ni kulima soko linakutafuta tyr.Kwa mazingira haya utaaje kutajirika,ndio wafanyao waarabu,wahindi, wazungu.Jaribu kwa mswahili Kama utofirisika
 
Back
Top Bottom