Matajiri wa asili ya Tanzania

20 Jan 2017
Mfahamu tajiri namba moja Tanzania mzalendo Mr. Sabodo mwenyeji wa Mtwara .


Source : Inawezekana TV
 
Jiulize kwanza kwenu ukoo wenu pande zote matajiri wapo wangapi na kwann hamjaambukizwa utajiri huo
 
Utajiri wake utakuwa wa ngende huyo! How come! Uwe na miela kindibwandibwa alafu eti utembelee baiskeli kweli😯 sasa ina maana gani ya kuzitafuta hizo hela, ili iweje.. au ukatumie mbinguni! Mtu kama huyu nna wasi wasi hata kulala analala chini na sio kitandani.. usifanye mchezo na mashrt ya mganga!
 
At least umedadavua kisomi.
 
Sina hata moja, ila mada inahusu matajiri wenye hadhi ya kuitwa top 10 ambao wengi wao utajiri umezidi trilioni 1 ya kitanzania ama unakaribia. Hivyo unapoleta Lori 100 si utani huo?
Umemlisha maneno mleta mada, hajasema utajiri wa kuanzia kiasi hicho ulichokisema (>= 1 trillion).
 
Sina hata moja, ila mada inahusu matajiri wenye hadhi ya kuitwa top 10 ambao wengi wao utajiri umezidi trilioni 1 ya kitanzania ama unakaribia. Hivyo unapoleta Lori 100 si utani huo?
Mkuu mbona Kama umemlisha maneno
 

Amejieleza vizuri kuhusu huo mwenendo wake wa kuishi kama wanyonge wengine wakati ni bilionea.
 
Josephat E. Mwingira
HII NDO NDEGE YA BABA YETU MTUME NA NABII JOSEPHAT E MWINGIRA ILIPOTUWA KIGOMA MUNGU NI MWEMA


Source : News Online TV
 
Mkuu mbona Kama umemlisha maneno
Umemlisha maneno mleta mada, hajasema utajiri wa kuanzia kiasi hicho ulichokisema (>= 1 trillion).
Namquote mtoa mada

MADA KUU.
Hivi kwa nini matajiri wengi asilia yao sio watanzania , Top 10 ya matajiri Tanzania wapo wawili tu,wengine hao asili yao ni waarabu na wahindi tu

Hiyo ndio mada yake kuu na amezungumzia top 10 kama standard ya huo utajiri

Ukiangalia Top 10 Tanzania Watu Kama Mo, Rostam, Bakhresa, Marehemu Mengi, wote walizidi Trilioni 1 na hata wanaowafatia kwa Nyuma pia wana utajiri unaokaribia hio trilioni.
 
1) Wapo serious zaidi katika fursa na Biashara kuliko sisi

2) Elimu yetu inatuathiri kwa kutuandaa kuajiriwa badala ya kujiajiri

3) wana exposure kuliko sisi, wanatoka sana kwenda katika nchi zingine hivyo wanapata connections

4) Wanajali kurithishana utajiri / Mali na namna ya kusimamia na kuendesha. Mfano utajiri wa

Granddad -> Dad -> Son
 
Neno...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mind set ya mwafrika aanaishi chini ya Jangwa la Sahara ndivyo ilivyojijenga au kujengwa na waliotutawala

MWafrika anawaona watu wasio Waafrika hi Bora kuliko Mwafrika mwenziwe..

Waafrika watahiyari wamfanyie roho mbaya Mwafrika mwenziwe kuliko mtu mwenye

Mfano:Benki itahiyari imkopeshe Muhindi au Mwarabu kuliko,Mzawa, kwavile wanaamini kuwa Mwarabu au Muhindi atalipa
 
24 Jan 2020
Bilionea mpya utajiri US$ 25,000,000
Nchini Tanzania Kijana Andron Mendes agonga vichwa vya habari baada ya kuuza kampuni yake ya Kopa Gaz kwa wawekezaji kutoka Uingereza

Source: VOA Swahili
 
Josephat E. Mwingira
HII NDO NDEGE YA BABA YETU MTUME NA NABII JOSEPHAT E MWINGIRA ILIPOTUWA KIGOMA MUNGU NI MWEMA


Source : News Online TV
Source ni sadaka na michango ya waumini,wao ni mabilionea wakisaza Hali waumini wao ni dhoofu hali
 
Watu weupe ni waaminifu sababu wanajua dhuluma utofika mbali ni sawa na kuchoma Moto nyumba huku ukiwa ndani.
Mfano halisi ni ndugu,marafiki zako wangapi wamekupiga kwa kukosa uaminifu?Hao wote wanamifumo ya kusaidiana mtaji wako ni uaminifu wako.
Unapenda biashara ya mabus unaenda kwa wauza mabus unajidhani unapewa,unapenda biashara yeyeto unadhaminika bure unapewa mtaji unarudisha percentage kiwandani,au dukani.Una kipaji wapo watakaokuendeleza,kazi yako wwe ni kulima soko linakutafuta tyr.Kwa mazingira haya utaaje kutajirika,ndio wafanyao waarabu,wahindi, wazungu.Jaribu kwa mswahili Kama utofirisika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…