Kuna matajiri wa malori wanapenda kuonea madereva wao hasa wanapowapa malori kupeleka mizigo nje ya nchi, kwanza malori yanabebeshwa mzigo mzito kuliko uwezo wake.
Dereva anapewa hela ya kuhonga mizani, na dereva akiishiwa diseli anashurutishwa anunue mwenyewe, na lori likiwa na overload linakula mafuta haswa kwenye milima.
Faraj wa FMS Tuangoma kuwa na huruma na madereva kwani wanateseka na masharti uliyoyaweka ilhali unajua mafuta unayowapatia hayatoshi kurudi Dar es Salaam kwa uzito huo wa tani unazozidisha. TANROADS, Weight and Measures na wahusika wengine fanyaeni uchunguzi wa kina juu ya hili.
Ni ukiukwaji wa haki za madereva. Hela yako unatumia kuwanyanyasa.