Matajiri walioko Afrika, kwanini hawamiliki vyombo vya anga?

Matajiri walioko Afrika, kwanini hawamiliki vyombo vya anga?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nikiangalia kwa mabara ya wenzetu, kwao matajiri kumiliki ndege binafsi ni kitu cha kawaida; sasa najiuliza kwa huku kwetu, tatizo ni nini?

Ni kwamba, hawana hela za kununua hivyo vyombo au ni kutokana na gharama kuwa kubwa za kiuendeshaji?

Kwa sababu usafiri na majengo, wengi wanamiliki (hata asiyekuwa tajiri); tofauti ni aina ya jengo na aina ya usafiri; ila vyote vipo ardhini.

Tatizo ni nini, kutokumiliki vyombo vya anga (ndege binafsi)?​
 
Back
Top Bottom