Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Oct 3, 2022 #1 Nikiangalia kwa mabara ya wenzetu, kwao matajiri kumiliki ndege binafsi ni kitu cha kawaida; sasa najiuliza kwa huku kwetu, tatizo ni nini? Ni kwamba, hawana hela za kununua hivyo vyombo au ni kutokana na gharama kuwa kubwa za kiuendeshaji? Kwa sababu usafiri na majengo, wengi wanamiliki (hata asiyekuwa tajiri); tofauti ni aina ya jengo na aina ya usafiri; ila vyote vipo ardhini. Tatizo ni nini, kutokumiliki vyombo vya anga (ndege binafsi)?
Nikiangalia kwa mabara ya wenzetu, kwao matajiri kumiliki ndege binafsi ni kitu cha kawaida; sasa najiuliza kwa huku kwetu, tatizo ni nini? Ni kwamba, hawana hela za kununua hivyo vyombo au ni kutokana na gharama kuwa kubwa za kiuendeshaji? Kwa sababu usafiri na majengo, wengi wanamiliki (hata asiyekuwa tajiri); tofauti ni aina ya jengo na aina ya usafiri; ila vyote vipo ardhini. Tatizo ni nini, kutokumiliki vyombo vya anga (ndege binafsi)?
robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,111 Reaction score 3,294 Oct 3, 2022 #2 Sera za nchi ni kipengele.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Oct 3, 2022 Thread starter #3 robert sendabishaka said: Sera za nchi ni kipengele. Click to expand... Haziwezeshi mtu kuwa tajiri?
Tafuta Hela JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 1,546 Reaction score 2,983 Oct 3, 2022 #4 Huwezi jua labda wanamiliki ungo Dunia ina mambo
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 Oct 3, 2022 #5 Tozo
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Oct 3, 2022 Thread starter #6 Notorious thug said: Tozo Click to expand... Inawezekana ikawa sababu