Matajiri Wamekodi Mbuzi wale Shamba la Mbigili na kulimaliza. Wamekeleka!

Matajiri Wamekodi Mbuzi wale Shamba la Mbigili na kulimaliza. Wamekeleka!

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Baada ya Kuvumilia kwa muda mrefu, sasa wameamua kuoneshana Makali. Mwenye pesa zake kakodi mbuzi washambulie shamba la Mbigili.

Wanashindwa kujua Mbuzi anakula Majani, Mizizi ya Mbigili imejichimbia chini.

Baada ya Mwenye shamba kuoneaha jeuri ya yasiyowezekana 2021,Sasa anataka aoneshe Jeuri mwaka 2025.

Kawaacha Mbuzi Wafanye vurugu watakavyo, Wenye hela wanakazana kumwaga pesa Mbuzi wengine waingie Shambani.
]
 
Back
Top Bottom