figganigga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 25,724 Reaction score 55,906 Dec 29, 2021 #1 Salaam Wakuu, Baada ya Kuvumilia kwa muda mrefu, sasa wameamua kuoneshana Makali. Mwenye pesa zake kakodi mbuzi washambulie shamba la Mbigili. Wanashindwa kujua Mbuzi anakula Majani, Mizizi ya Mbigili imejichimbia chini. Baada ya Mwenye shamba kuoneaha jeuri ya yasiyowezekana 2021,Sasa anataka aoneshe Jeuri mwaka 2025. Kawaacha Mbuzi Wafanye vurugu watakavyo, Wenye hela wanakazana kumwaga pesa Mbuzi wengine waingie Shambani. Your browser is not able to display this video. ]
Salaam Wakuu, Baada ya Kuvumilia kwa muda mrefu, sasa wameamua kuoneshana Makali. Mwenye pesa zake kakodi mbuzi washambulie shamba la Mbigili. Wanashindwa kujua Mbuzi anakula Majani, Mizizi ya Mbigili imejichimbia chini. Baada ya Mwenye shamba kuoneaha jeuri ya yasiyowezekana 2021,Sasa anataka aoneshe Jeuri mwaka 2025. Kawaacha Mbuzi Wafanye vurugu watakavyo, Wenye hela wanakazana kumwaga pesa Mbuzi wengine waingie Shambani. Your browser is not able to display this video. ]