Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
Mufuruki, Mengi, Bakhresa na wengine wengi tu ni self made, sababu fulani karithi haimaanishi matajiri wote ni wa kurithi.MTOTO WA MO AKIJIANDA KUENDESHA MALI ZA FAMILIA ZILIZO TAFUTWA TANGU ENZI ZA MABABU ZAKE HUKU MIMI NIKIJIANDAA KURITHI JINA NA UKOO NA LAANA WANAZO NIPA NDUGU AMBAO SIWAPIGII SIMU.
Kitu kipekee Masikini anachorithi wazazi wakiwa hai ni Uchawi na Matatizo na wala sio maliView attachment 3444128
MTOTO WA MO AKIJIANDA KUENDESHA MALI ZA FAMILIA ZILIZO TAFUTWA TANGU ENZI ZA MABABU ZAKE HUKU MIMI NIKIJIANDAA KURITHI JINA NA UKOO NA LAANA WANAZO NIPA NDUGU AMBAO SIWAPIGII SIMU.
Kitu kipekee Masikini anachorithi wazazi wakiwa hai ni Uchawi na Matatizo na wala sio maliView attachment 3444128
Mufuruki, Mengi, Bakhresa na wengine wengi tu ni self made, sababu fulani karithi haimaanishi matajiri wote ni wa kurithi.
Na wewe andaa watoto wako kuwa machawa na wanunuzi wa Mo energy na mashabiki wa Simba.MTOTO WA MO AKIJIANDA KUENDESHA MALI ZA FAMILIA ZILIZO TAFUTWA TANGU ENZI ZA MABABU ZAKE HUKU MIMI NIKIJIANDAA KURITHI JINA NA UKOO NA LAANA WANAZO NIPA NDUGU AMBAO SIWAPIGII SIMU.
Kitu kipekee Masikini anachorithi wazazi wakiwa hai ni Uchawi na Matatizo na wala sio maliView attachment 3444128
Umesoma heading na mada ama umeangalia picha tu.Kamuongelea MO na mwanae tho...