Matajiri wenye asili za Kiafrika Tz vs Kenya

Matajiri wenye asili za Kiafrika Tz vs Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kila siku tunaambiwa humu kwamba Kenya imemilikiwa na Wazungu na eti Tanzania ni ya weusi Watanganyika.
Lakini tukienda kiukweli, matajiri wanao ongoza Tanzania, mmoja tu ndio mweusi mwenye asili ya kibantu, wengine wote mababu zao wametokea Uarabuni na wachache India.
Nafuu Kenya kuna wazawa weusi zaidi ya mmoja.

Hawa hapa wa Tanaznia

  • Mohammed Dewji
Richest-Man-In-Tanzania-Mohammed-Dewji.jpg

  • Rostam Azizi
Rostam-Azizi-Richest-Tanzanian-Man.jpg

  • Said Salim Bakhresa
sahid-salim-bakhresa-richest-people-in-tanzania.png

  • Reginald Mengi
Reginald-mengi-richest-person-in-tanzania.jpg

  • Ally Awadh
Ally-Awadh-Net-Worth.jpg

  • Shekhar Kanabar
shekhar-Kanabar-net-worth.jpg

  • Subash Patel
subash-patel-net-worth.jpg

  • Ghalib Said Mohammed
Ghalib-Said-Mohamed-net-worth.jpg

  • Fida Hussein Rashid
Fida-Hussein-rashid.jpg

Other Richest People In Tanzania 2017 Include :
  • Salim Turky
  • Yogesh Manek
  • Abdul Aziz Abood
  • Yusuf Manji
  • Haroon Zakaria
  • Ali Mufuruki
  • Nasir Mustaga

Hii hapa orodha ya Wakenya

Bhimji Depar Shah

bhimji-depar-shah.jpg

Bhimji Depar Shah | Photo credit: Forbes

Naushad Merali

Naushad-Merali.jpg

Naushad Merali, founder of the Kenyan mobile service provider Kencell | Photo credit: cio.co.ke

Uhuru Kenyatta
Uhuru-Kenyatta1-e1447693649303.jpg

Kenya's President Uhuru Kenyatta. He is one of the richest person in Kenya | Photo credit: Reuters

Chris Kirubi
Kirubi-Chess.jpg

Chris Kirubi enjoying his chess | photo credit: capitalfm.co.ke

Atul Shah
Atul-Shah-e1447694317100.jpg

Atul Shah is estimated to worth $600 million | Photo credit: BBC

Peter Kahara Munga
Munga.png

Equity bank board chairman Peter Munga

Dr Manilal Premchand Chandaria
Mani-Chandaria.png

Dr. Manu Chandaria, in an interview with Havard Business School | Photo credit: hbs.edu

Raila Odinga
odinga.jpg

Raila Odinga | Photo credit: Kenya-today.com

James Mwangi
James-Mwangi.jpg

James Mwangi, Group Mananging Director & Group CEO Equity Group Holdings Limited | Photo credit: kenyayetu.net

S. K Macharia
sk-macharia.jpg

S. K Macharia businessman and a media mogul | Photo credit: Nairobiwire.com
 
Hii list ungeweka in terms of families ndio kieleweke, kuna wasee watajua hawajui
 
How much is RAO worthy? Or having Spectra qualifies him to be in the list of rich people in Kenya? FYI We have several of RAO caliber! It will be better if we give criteria say above $250mln!

Where is Michael Shirima? Where is Anthony Diallo? where is Vicent Lasway? Where is Songoro? Where is Karamagi? Where is late Meleu? Where is Ernest Massawe? Where is Mkono? Where is Bomani?
 
Wakenya na royals wao...
Akheri Bakhresa maana ni kama washiraz wengine tu na ni mtanzania na anaiendeleza Tanzania kuliko hao wenye ngozi nyeusi ambao wanaendeleza unyonyaji waliourithi kwa wazee wao...

Utajiri wa Kenyatta wala odinga sio wa kuwa celebrated maana ni alama ya usaliti waliofanyiwa wakenya na waanzilishi wa taifa lao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How much is RAO worthy? Or having Spectra qualifies him to be in the list of rich people in Kenya? FYI We have several of RAO caliber! It will be better if we give criteria say above $250mln!

Where is Michael Shirima? Where is Anthony Diallo? where is Vicent Lasway? Where is Songoro? Where is Karamagi? Where is late Meleu? Where is Ernest Massawe? Where is Mkono? Where is Bomani?
Ondoa upussie hapa.
 
Mbona kama list ya jirani wale blacks ni politcians zaidi..pia hizi list mbili zingekuwa nzuri kama OP angeweka net worth za wahusika ili tujue kama kweli wote wanastahili kuwa hapo au kuna wengine wamekua left out...
 
Tanzania huwezi kuwa Mwananchi Wa nchi mbili(Duo Citizenship) Wote hao wahindi na waarabu waliopo Tz ni watanzania pekee.
Wahindi na waarabu wa kenya wako na duo citizenships za india na UK..
America ni nchi ambayo imemilikiwa na Jews..Sioni shida yeyote hapo..Mwenye kuanzisha mada. hii ana chuki tu ila hana hoja ya maana..Lengo lake ni kuwagawanya wa Tz kwa asili za Rangi na kabila kama kenya
 
Actually Am agree with you
 
Back
Top Bottom