comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani.
Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na serikali iliyoanzisha tozo ya mshikamano hata pale serikali inaposema kuwa inataka kuongeza uwezo wa kutoa huduma za maji na afya na kuboresha miundo mbinu ya barabara.
Swali la kujiuliza ni moja- hivi si kweli kwamba tunataka huduma bora za maji, afya na barabara?