Huwezi kushusha bei pombe halafu ukapandasha bei zile huduma muhimu zinamuathiri kila mwananchi moja kwa moja halafu unasema unatimiza matamanio ya wananchi.Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani.
Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na serikali iliyoanzisha toz o ya mshikamano hata pale serikali inaposema kuwa inataka kuongeza uwezo wa kutoa huduma za maji na afya na kuboresha miundo mbinu ya barabara.
Swali la kujiuliza ni moja- hivi si kweli kwamba tunataka huduma bora za maji, afya na barabara?
Swali la kukuuliza wewe na wenzio ni kwamba nchi yenye madini yote, gase,moto, maziwa na kila aina ya rasilimali inawezaje kumkamua mpaka bibi yangu kijijini kwa kisingizio cha maendeleo ? Ati matamanio ya wananchi!Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani.
Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na serikali iliyoanzisha tozo ya mshikamano hata pale serikali inaposema kuwa inataka kuongeza uwezo wa kutoa huduma za maji na afya na kuboresha miundo mbinu ya barabara.
Swali la kujiuliza ni moja- hivi si kweli kwamba tunataka huduma bora za maji, afya na barabara?
Yaani mkuu wa wilaya ya kinondoni unampa v8 ya kwenda wapi sasaWalete muswada Wauze v8 Ili watembelee hata Harrier tu
Wapo wazungu watatusaidia kupata hizo hudumaSera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani.
Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na serikali iliyoanzisha tozo ya mshikamano hata pale serikali inaposema kuwa inataka kuongeza uwezo wa kutoa huduma za maji na afya na kuboresha miundo mbinu ya barabara.
Swali la kujiuliza ni moja- hivi si kweli kwamba tunataka huduma bora za maji, afya na barabara?
Unataka atembelee VITS ili mumvamieYaani mkuu wa wilaya ya kinondoni unampa v8 ya kwenda wapi sasa
Nyie wenye kujifanya mna mawazo makubwa , mkipewa madaraka mnaishia kuwa kama Mlevi Chalamila aliyekuwa RC wa MwanzaSwali la kukuuliza wewe na wenzio ni kwamba nchi yenye madini yote, gase,moto, maziwa na kila aina ya rasilimali inawezaje kumkamua mpaka bibi yangu kijijini kwa kisingizio cha maendeleo ? Ati matamanio ya wananchi!
Hovyo kabisa wewe matarajio ya wananchi alikuwepo tangu uhuru. Mmeshindwa hata kujenga matundu ya vyeo vya shule za msingi mtaweza leo kupitia simu????
Porojo hizo!
Sokoine alikuwa anatembea kwa ViTS ? Yupo wapi?Unataka atembelee VITS ili mumvamie
Mfano wako ni mbingu na ardhiSokoine alikuwa anatembea kwa ViTS ? Yupo wapi?
Lile chizi lilikuwa unatembea na mi vi mpaka uzio wa kulinda mikutano yake liko wapi
Mahusiano ya maendleo ya watu na v8 ninini?????
wewe unaona wanywa pombe ndio wachangie tu wewe mlevi wa mitandao uachwe siyo?Huwezi kushusha bei pombe halafu ukapandasha bei zile huduma muhimu zinamuathiri kila mwananchi moja kwa moja halafu unasema unatimiza matamanio ya wananchi.
Mkuu ukitaka kutukwepa kaa mbali na helaSwali la kukuuliza wewe na wenzio ni kwamba nchi yenye madini yote, gase,moto, maziwa na kila aina ya rasilimali inawezaje kumkamua mpaka bibi yangu kijijini kwa kisingizio cha maendeleo ? Ati matamanio ya wananchi!
Hovyo kabisa wewe matarajio ya wananchi alikuwepo tangu uhuru. Mmeshindwa hata kujenga matundu ya vyeo vya shule za msingi mtaweza leo kupitia simu????
Porojo hizo!
Unahitaji muda sana kuelewa ankoowewe unaona wanywa pombe ndio wachangie tu wewe mlevi wa mitandao uachwe siyo?
Huyu anawazimuMbona huongelei mashangingi na misafar yenye magari mengi ya anasa kuwa yanapandisha gharama za uendeshani, kisha kuwapa mzigo wakodi na tozo wananchi?
Huyo chalamila alishakuaga na mawazo makubwa kwa ajili ya ustawi wa nchi kabla hajapewa hiyo nafasi?.maana kwa haraka haraka sidhani.Nyie wenye kujifanya mna mawazo makubwa , mkipewa madaraka mnaishia kuwa kama Mlevi Chalamila aliyekuwa RC wa Mwanza