fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Ndugai na nyi Chadema wote si watoto wa baba mmoja?Baada ya mama kusema bunge lijadili mambo yenye yenye tija kwa taifa, Ndugai kachukia, saa hii anajifanya anaibana serikali! Kwa taarifa yake bunge hili kibogoyo halina nguvu hiyo.
wakiamua kutumia akili zaoNDUGAI na GWAJIMA ni tunu ya taifa
Mhe. Ndugai amenena jambo la muhimu sana kwa Taifa letu, jambo ambalo wengi walilifumbia macho lkn lina hatarisha umoja wa taifa letu nalo ni mgawanyo wa ajira na nafasi za uteuzi serikalini ulio sawia na wa haki, kimaeneo na hata kiimani, sio sahihi kujaza ktk utumishi wa umma watu wa aina mmoja halafu wengine wengi wakatupwa nje, hilo sio sahihi kabisa kwa ustawi na uzalendo wa taifa letu, lazima jambo hilo.litazamwe kwa kuzingatia sifa, usawa wa maeneo na hata usawa wa imani zote kushiriki ktk ujenzi wa taifa lao utaleta na kuimarisha uzalendo.
Analinda kipara chakeHuyu spika haaminiki, ameshindwa hata kulinda katiba ya nchi...
Hata wananchi hawafuatilii kama vile siyo kipindi cha budgetBaada ya mama kusema bunge lijadili mambo yenye yenye tija kwa taifa, Ndugai kachukia, saa hii anajifanya anaibana serikali! Kwa taarifa yake bunge hili kibogoyo halina nguvu hiyo.
"Naye tunasubiria Yale maombi ya G.Lema"Pale Shetani anapogeuka Malaika.
Ndugai ni nafiki sana.
Huyu mama na mwendezake bado ni kitu kimoja. Ubaguzi ni uleule. Kaangalie teuzi za wakuu wa mikoa, hakuna hata raia moja ametokea kanda ya kaskazini yaani Manyara, Arusha, Kilimanjaro wala Tanga. Ina maana hakuna wenye uwezo kutoka pande hizi wakati mpaka Kafulila ni mkuu wa Mkoa? Alisababisha matatizo ya ajira has ya walimu ni Magufuli, majanga haya yote ya watoto wasomi wa kitanzania kudhalilika laana iwaendee uzao wake wote. Huyu mama km ana nia ya kuwasaidia walimu serikali ipange mpango maalum wa kuajiri kwa mwaka angalau mara mbili na ianze na alikoishia JK, yaani mwaka 2015. Ajira isiwe ya kuomba majina yachukuliwe vyuoni kuondoa uonevu, ubaguzi na rushwa.Mhe. Ndugai amenena jambo la muhimu sana kwa Taifa letu, jambo ambalo wengi walilifumbia macho lkn lina hatarisha umoja wa taifa letu nalo ni mgawanyo wa ajira na nafasi za uteuzi serikalini ulio sawia na wa haki, kimaeneo na hata kiimani, sio sahihi kujaza ktk utumishi wa umma watu wa aina mmoja halafu wengine wengi wakatupwa nje, hilo sio sahihi kabisa kwa ustawi na uzalendo wa taifa letu, lazima jambo hilo.litazamwe kwa kuzingatia sifa, usawa wa maeneo na hata usawa wa imani zote kushiriki ktk ujenzi wa taifa lao utaleta na kuimarisha uzalendo.
Hata wananchi hawafuatilii kama vile siyo kipindi cha budget
Hili ni fundisho toshaExactly, maana wamelipuuza hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura.
So, unataka kusema hapa tulipo fikia ni dhaili kanda ya ziwa wanapendelewa?Huyu mama na mwendezake bado ni kitu kimoja. Ubaguzi ni uleule. Kaangalie teuzi za wakuu wa mikoa, hakuna hata raia moja ametokea kanda ya kaskazini yaani Manyara, Arusha, Kilimanjaro wala Tanga. Ina maana hakuna wenye uwezo kutoka pande hizi wakati mpaka Kafulila ni mkuu wa Mkoa? Alisababisha matatizo ya ajira has ya walimu ni Magufuli, majanga haya yote ya watoto wasomi wa kitanzania kudhalilika laana iwaendee uzao wake wote. Huyu mama km ana nia ya kuwasaidia walimu serikali ipange mpango maalum wa kuajiri kwa mwaka angalau mara mbili na ianze na alikoishia JK, yaani mwaka 2015. Ajira isiwe ya kuomba majina yachukuliwe vyuoni kuondoa uonevu, ubaguzi na rushwa.
Mhe. Spika ameona kitu ndani ya mfumo wa serikali hakipo sawa nacho ni taratibu za ajira ktk utumishi wa umma na Uteuzi ktk nafasi mbalimbali, mamlaka zinazo husiana na uteuzi hazizingatii mseto unao akisi taswira ya Taifa letu, tuache unafiki, kuna tatizo na hivyo linapaswa lirekebishwe haraka ili kujenga na kuimarisha umoja na mshikamano wa Taifa letu.Mapema leo 24/05/2021, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amezitaka kamati kufatilia mchakato wa ajira za walimu zilizotangazwa kwa uwazi na ukweli.
Pia ameonyesha kutoridhika na ajira zilizotolewa mwaka jana huku ikionyesha kanakwamba hakuna uwazi katika kuajiri. Nimekuwa na maswali kuhusu hili.
Je, hapa Spika anamanisha kuwa katika kuajiri walimu serikali haiko wazi?
Je, Spika anamaanisha kuwa katika kuajiri serikali inaegemea ukanda na ukabila?
Je, Spika anamaanisha hapa Tanzania kuna aina ya watu fulani ndio wanafaa kuwa walimu?
View attachment 1796302
Ni kweli!! Walishatukatisha tamaa na kudemka kila uchwao!Hata wananchi hawafuatilii kama vile siyo kipindi cha budget