fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Ndugai na nyi Chadema wote si watoto wa baba mmoja?Baada ya mama kusema bunge lijadili mambo yenye yenye tija kwa taifa, Ndugai kachukia, saa hii anajifanya anaibana serikali! Kwa taarifa yake bunge hili kibogoyo halina nguvu hiyo.
Hivi bado mnataka bandari ya bagamoyo?