Matamanio ya wengi

Matamanio ya wengi

Hold on

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
482
Reaction score
1,126
Ndugu ujambo

Humu ndani kila mtu amejiunga akiwa na lengo lake, wapo waliojiunga na malengo yao yakatimia na wapo ambao wamejiunga hayajatimia bado lengo lao.

Kundi la kwaza ni wale waliojiunga kwa lengo la kupata kazi kutokana na shuhuda za watu mbalimbali ambao walipata michongo kupitia JF.

Kundi la pili hawa watu wamejiunga kwasababu ya kujifunza mengi kutoka kwa watu waliobobea.

Kundi la tatu ni watu ambao wamejiunga ili kupata kampani kutoka humu kutokana na upekee wa mtandao.

Kundi hili ni la mwisho hawa ni watu waliokata tamaa kabisa na wamejiunga humu ili wapate relief kutoka kwa member wa humu wakiamini kuwa wote ni rich hawa ndio wale wanaokesha pm kufata watu na kuwaambia shida zao wasijue wanajishushia thamani.

Na wanafosi kwasababu tu eti mtu alisaidiwa na fulani basi nae anafosi apatiwe msaada, Id zimeficha mengi sana na ni vyema ikawa Hivyo.

Nawapa siri ninyi watu kama unataka ku-meet na mtu humu ambaye ni rich lakini atakuwa msaada kwako ondoa tamaa pili be respect na kila mtu humu tatu punguza ujuaji na lugha chafu.

Kuna kijana mmoja humu amepoteza la bahati kutokana tu na kushindwa jizuia tabia zake chafu lugha chafu kwa watu.

Ni hayo tu naweza nisieleweke
 
Wewe lengo lako ni nini?
 
Mie nilijiunga humu ili nipate totoz, lakini sijapata hadi leo ndio sijaondoka..😎
 
Sawa mkuu, lakini tatizo hawajibu PM.
Kwani wengine mna/wana tumia mbinu gani...🤔
Unamwaga mashairi makali, hapa hapa sio huko pm. Unamlengesha kama mmoja from no where, unajimwaga hadharani, hata asipotiki, yupo atakaye ingia king. Mwanzie Mrs. Lisu, tupa nyavu kundini hukosi mboga
 
Back
Top Bottom