Matamanio yangu kwenye mahusiano ni kuwa na mwanamke mfupi

Matamanio yangu kwenye mahusiano ni kuwa na mwanamke mfupi

Odax Thomas

New Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
3
Reaction score
4
Wana Jf Habari Zenu,

Binafsi Yangu Kwenye Mahusiano Matamanio Na Mapenzi Yangu Huwa Nahitaji Sana Kuwa Na Wale Wanawake Wafupi Wafupi. Mtaani Huku Wanawaita Mbili Kimo But Upatikanaji Wao Ni Adimu Sana .

Sijui Nafanye Ili Kuweza Kupata Wa Aina Hiyo
 
Back
Top Bottom