Msae-Marangu
Member
- May 28, 2023
- 70
- 109
Ndugu, nimecheka kidogo! Sio kwa kukudharau hapana! Bali umegusa mambo ambayo nilikwambia tayari nilishaya experience kwa zaidi ya miaka 30,maswali yako hayana majibu, kwababu unaongelea matambiko lakini kwa mtazamo wa imani za dini za kiabrahamu. (hapo una kosea) na unaongelea uungu kwa tafsiri na imanai za dini hizo za kislamu na kikristu (hapo pia unakosea)
mizimu hatuabudu tunai activate.
mzimu ni neno la kishona, tafsri yake ni mizizi yangu, MIDZI-MIZIZI /////UMU-WANGU (MIDZIUMU)
na inaishi kwenye DNA za kila mmja wetu. sasa hapa ni swala la amani, mimi naamini babu yangu anaishi na mimi kila siku coz yupo kwenye DNA yangu.
kuna matambiko specila kwaajili ya ku activate DNA za mtu. hii ikikuingia sana, ndio unaanza kupata experience za kumuona babu yake ukilala. kama ambavyo walokole wanamuona yesu wakilala.(yesu wa kwenye picha za ukutani)
na mzimu hauwezi kua mtu yyte, bali yule alieishi vyema. na huyo ndio tuna activate DNA yake.
huwezi ku activate DNA yake kama hujawahi kumuona au hujawahi kusikia story yake, ili uwe inspired.
kuna mangi ku unpack kuhusu afrikan philosophy. lakini wakoloni hawakua na muda wa kustudy hio filosofi, wakaipachika jina na devilish practices.
Hayo ya kumuona babu yako nilisha yafanya miaka mingi, Tena sio kumuona tu, tulikuwa tunakula nae na kushiriki mambo mengi pamoja nae! Na sio Babu tu hata ndugu wengine waliokufa zamani walitokea na kuongea nao na kula nao!
Tena hao mababu wazamani na ndugu waliokufa walikuwa wakitokea wanakwambia mambo ambayo unakuja kuyaona baadae! Mambo ambayo lazima yatokee na yanatokea kweli! Akikwambia kuna hili na hili Basi ujue piga ua lazima litokee kweli, na linatokea muda si mrefu! Ni kiasi tu cha kujiandaa na hilo jambo!
Kwahiyo nasema tena matambiko ni IBADA sio utamaduni tu! Tena ibada yenye matokeo! Iwe unajua au hujui, mambo ya mizimu kuwa kwenye damu hiyo sio kweli inategemea na ushirika wako na hiyo mizimu! Otherwise unaongelea scientific! Genetics au vinasaba ni kweli viko kwenye damu kwasababu wazee wetu ndio wametuzaa tumecoppy genetics zao! Lakini hapa tunazungumzia MIZIMU kama ROHO na sio scientifically!
Matambiko ni mambo ya kiroho (spiritual) na sio kisayansi (scientifically) hivyo roho haina genetics Bali mwili.