Matamshi ya alama

Matamshi ya alama

Kakira

Member
Joined
Jun 11, 2023
Posts
7
Reaction score
5
Katika matumizi ya simu tunakuta alama:
* inatamkwa nyota.
# inatamkwa alama ya reli.
Kwanini * isitamkwe alama ya nyota sababu sio nyota kihalisia.
 
Back
Top Bottom