Matamshi ya Chris Brown kuhusu Ebola yakera watu

Matamshi ya Chris Brown kuhusu Ebola yakera watu

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
images

Mwimbaji mashuhuri duniani ,Chris Brown ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter Jumatatu kuhusu ugonjwa wa Ebola na kutoa maoni yake.

''Sijui , lakini nadhani Janga la Ebola ni njia moja ya kudhibiti idadi ya watu duniani...janga hili linatisha kweli,'' aliandika Brown.

Saa chache baadaye alionekana kufahamu uzito wa kauli yake na ambavyo uliwakera watu kwenye mtandao huo na baadaye kusema.... ''afadhali nikae kimya".

Ujumbe wa Brown ulisambazwa mara 16,000 kwenye mtandao wa Internet. Hata hivyo watu hawahukufurahia matamshi ya Chris Brown kwani walaionekana wakimjibu kwa ukali baadhi wakisema, mwimbaji huyo anapaswa kunyamaza ikiwa hana cha kusema.

Janga la Ebola limesababisha vifo vya zaidi ya watu 4000 katika kanda fa Afrika Magharibi. Ugonjwa huo umeenea hadi Uhispania na nchini Marekani ambako mgonjwa mmoja aliyueingia nchini humo akiwa ameambukizwa Ebola alifariki wiki jana.

Source: BBC
 
Tatizo ni jinsi alivyotoa kauli kama vile yeye anafurahia na haguswi hata kidogo, kwa mtu kama yeye watu walitarajia maneno ya busara zaidi kuliko kejeli hizi
 
Sioni tatzo hapo ni wasiwasi wake.. mbona hawamshupalii aliyetengeneza virus vya ukimwi
 
Chriss brown yupo real ..hata mimi nahisi hivyo
 
Big up chris Breezy kwa kutetea blacks wenzako wazungu wanakuona umetoa kejeli kwa sababu umewaumbua malengo yao,wanatengeneza virusi kuwaua waafrica shem on 'em pigs.
 
Hahahaaaa hapo kwenye secret societies, namna nyie ndo mmemezeshwa uzushi wa freemasons

you need to study global world view on secret societies na uachane na umbumbumbu na ujinga wako wa kuidhania freemansons kila wakati....kama hujui kuhusu "The Bilderberg Group" wewe ni kipofu wa akili na ufahamu usiyejua lolote juu ya nini kinaendelea katika ulimwengu huu. Ni vyema ukanyamaza.
 
Tatizo ni jinsi alivyotoa kauli kama vile yeye anafurahia na haguswi hata kidogo, kwa mtu kama yeye watu walitarajia maneno ya busara zaidi kuliko kejeli hizi

Ameguswa ndo maana katoa kauli hiyo. Wewe kwa kuwa akili yako fupi hukumuelewa na hutamuelewa!
 
Chriss Brown kasema ukweli kwani hao watu weupe ni maarufu kwa kutengeneza magonjwa na virusi hatari😱😱
 
Hivi ngoja nikuulize mleta mada, wewe unapokua na jambo lako au maoni yako ni lazima ukosolewe kuwa afadhali ungesema hivi na vile kuliko hivyo ulivyosema? Kila mtu ana ubongo wake na namna ya kuwasilisha mawazo yako. Haya nyie mlitaka asemeje labda?
 
Majanga haya yanatengenezwa makampuni "yao" yafanye biashara, watu wapate ajira...
Unadhani dunia nzima ikiwa shwari tutapata maendeleo kama tuliokuwa nayo?...
 
I don't think they would use Ebola.. It's too risky and the leaders who want us all dead would have no one to pay for their vacations , golf trips . I think it's the opposite . They have ignored it till its getting in our world. When the virus mutates to spread in the air we are All going to get it . Politicians too! Their families . They won't be immune .. I think they need to enforce quarantines , stop flights from the affected nations.they have to get this virus to stop spreading .. It's not the gov doing it , it's not the devil.. It's a microorganism that is deAdly . We need to band together to make sure these people that come here with it are in the most secure , well trained staff to stop spreading it to healthcare workers. My daughter works for a Emergency room doc , I worry about her if he comes in contact . Like the Liberian guy , he apparently did not mention he just helped a pregnant woman who later died from it .we have to educate these peoples they don't trust the outsiders coming in,
 
Back
Top Bottom