Globetrotter
Member
- Mar 25, 2021
- 9
- 17
PM Majaliwa alisema kweli, hata VP Samia pia alisema hivyo hivyo, JPM alikuwa mzima akipiga job, mara akaugua ghafla na kufa ghafla.Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwez wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazin anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
Ujue ww kabla ya mfalme kukuzingua ulikuwa very descent na intelligent ila sasa hv nakuona kama chakubanga tuu.PM Majaliwa alisema kweli, hata VP Samia pia alisema hivyo hivyo, JPM alikuwa mzima akipiga job, mara akaugua ghafla na kufa ghafla.
Umeme wa Stigler utawaka ufikapo mwezi Juni , 2022!.
Amini nakuambia.
P
MKM Ni muongo wa Taifa. Tulete videos ngapi za uthibitisho?Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwez wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazin anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
Kwani hairuhusiwi kudanganya msikitini!Alidanganya watanzania akiwa msikitini kabisa
Ndivyo mkataba unavyosema, na situation on the ground zinaonyesha mradi unatekelezwa kama ilivyopangwa hivyo kuashiria kuwa utakamilika kwa muda uliopangwa.Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwez wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazin anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
VP Samia alikuwa muwazi kuwa kapata jaribu la ki-afya ni jambo la kawaida.PM Majaliwa alisema kweli, hata VP Samia pia alisema hivyo hivyo, JPM alikuwa mzima akipiga job, mara akaugua ghafla na kufa ghafla.
Umeme wa Stigler utawaka ufikapo mwezi Juni , 2022!.
Amini nakuambia.
P
Post inahusiana na Majaliwa na bwawa la umeme, wewe umeshaanza kumvamia mtu na maneno ya kwenye kanga. Mnasisitiza uhuru wa kutoa maoni Ila hamuheshimu maoni ya wengine, mnakwama wapi!?.. kwani lazima mtu atoe maoni unayopenda kusikia tu!?.. yakiwa tofauti mnaanza mipasho?.. acheni upumbavu bwana.Ujue ww kabla ya mfalme kukuzingua ulikuwa very descent na intelligent ila sasa hv nakuona kama chakubanga tuu.
Jaribu kuirudia misingi bora uliyokuwa nayo maana ww tayari ni muhenga na itakuwa aibu sana kukumbukwa kwa mambo na point za hovyo za kuunga juhudi.
Hujachelewa na bado una nafasi ya kuwa mwanahabari unayeheshimika na sio msaka tonge. Uteuzi wa GG umeharibu akili za wanahabari wengi sana
Ukiwa CCM, UVCCM na Mataga basi inaruhusiwa kabisaKwani hairuhusiwi kudanganya msikitini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PM Majaliwa alisema kweli, hata VP Samia pia alisema hivyo hivyo, JPM alikuwa mzima akipiga job, mara akaugua ghafla na kufa ghafla.
Umeme wa Stigler utawaka ufikapo mwezi Juni , 2022!.
Amini nakuambia.
P
Majaliwa hana credibility tena ya kuwaambia uma wa Watanzania lolote lile.He is a hopeless liar!
Unamaanisha huyuhuyu aliesema akiwa Ng'ambo kuwa Buhngeh ni Dhaifu?Huyu PM ni muongo sana kuwahi kutokea. Mbona Waislam ni watu safi sana, huyu mwenzao ana shida gani?
Albadir inamwandama huyu mzee.