Globetrotter
Member
- Mar 25, 2021
- 9
- 17
- Thread starter
-
- #21
PM Majaliwa alisema kweli, hata VP Samia pia alisema hivyo hivyo, JPM alikuwa mzima akipiga job, mara akaugua ghafla na kufa ghafla.
Umeme wa Stigler utawaka ufikapo mwezi Juni , 2022!.
Amini nakuambia.
P
Mayala kikwetu ni njaaa! kauli hii ilikunyamazisha kabisaPM Majaliwa alisema kweli, hata VP Samia pia alisema hivyo hivyo, JPM alikuwa mzima akipiga job, mara akaugua ghafla na kufa ghafla.
Umeme wa Stigler utawaka ufikapo mwezi Juni , 2022!.
Amini nakuambia.
P
Haaminiki tena, anastahili kujiuzuluNapata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwez wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazin anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
Kuna nafasi gani wazi kwani maana naona Pascal unapambana kweli.PM Majaliwa alisema kweli, hata VP Samia pia alisema hivyo hivyo, JPM alikuwa mzima akipiga job, mara akaugua ghafla na kufa ghafla.
Umeme wa Stigler utawaka ufikapo mwezi Juni , 2022!.
Amini nakuambia.
P
msikitini ni nyumba ya kuswalia. mahala pa kuongea na Mungu. unadanganya ili iweje?Kwani hairuhusiwi kudanganya msikitini!
Sio June 2020, 2022.Kwa sasa ninampa PM benefit of doubt.
Tunasubiri hiyo june 2020 tuone umeme ukiwaka. Ukiwaka tutampongeza na usipowaka tutamuwashia moto wa hatari.