Matamshi ya neno "Phoenix"

Mh, sisi tunamaanisha matamshi ya wenye lugha yao bhana, hiz habari za kila mtu na lafudhi yake tuweke pembeni kwanza.
Namaanishi hivi mkuu
Various English language dialects from around the world.
  • British English. ...
  • American English. ...
  • Australian English. ...
  • Canadian English. ...
  • Indian English. ...
  • Philippine English. ...
  • Ugandan English.
 
Namaanishi hivi mkuu
Various English language dialects from around the world.
  • British English. ...
  • American English. ...
  • Australian English. ...
  • Canadian English. ...
  • Indian English. ...
  • Philippine English. ...
  • Ugandan English.
Kingereza kimeanzia Britain, so we go with it or US kwasababu US's English is also widely used.
 
Una uhakika bwana kimaryo? Hebu Karibu kuchungulia hata Wikipedia kuhusu historia ya hiyo lugha
We unazungumzia lugha zilizochangia (kopesha) maneno ya kingereza kwa wingi, mi nazungumzia simply taifa lililoanza kuzungumza kingereza cha kwanza kilichoanza kuimarika
 


Hiyo inatamkwa "Foniksi" na wala sio "Finiksi", angalia neno Philosophy linatamkwa Filosofii, hapo kuna herufi phi---- lakini kwenye Phoenix kuna Pho-- sasa iweje "pho" itamkwe Fi kama kwenye phi-- ya Filosofii???

Hao wazungu wasituburuze hapa. Mimi nitaendelea kutamka; Foniksi na hapo nipo sahihi.
 
Braza usifanye vitu kwa vile unataka wewe, fuata pronunciation zao
 
Braza usifanye vitu kwa vile unataka wewe, fuata pronunciation zao


Nafanya vitu vinavyoingia akilini.

Hebu tamka maneno haya:

Phone, photo, phosphorus,

Philosophy, pharaoh, Philip, sasa inakuaje Phoenix itamkwe Finiksi???7--- haiingii akilini.🤣
 
Tushazoe mkuu foneksi ,shanshan,gazebo,swala ndio baskeli za kitambo.
 
Mi tokea napata akili mpaka nazeeka natamka 'foneksi',wacha tu niendelee kutamka hivyohivyo nisije nikatukana bure...
 
Mi tokea napata akili mpaka nazeeka natamka 'foneksi',wacha tu niendelee kutamka hivyohivyo nisije nikatukana bure...
Braza, yawezekana kwa kiswahili tafsiri yake ni FONEKSI ila kwa kingereza inatamkwa "fineksi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…