cairnegie Member Joined Jul 10, 2017 Posts 11 Reaction score 5 Mar 9, 2025 #1 Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha. Mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 .
Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha. Mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 .
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Mar 9, 2025 #2 Katika siku 365 siku moja tu ndio inakuuma hivyo? Subili sikukuu yako inakuja April mosi utasherehekea.
Katika siku 365 siku moja tu ndio inakuuma hivyo? Subili sikukuu yako inakuja April mosi utasherehekea.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Mar 9, 2025 #3 cairnegie said: Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha ... mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 . Click to expand... Ww upo kwenye siku zako, lazima uwe na kisirani.
cairnegie said: Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha ... mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 . Click to expand... Ww upo kwenye siku zako, lazima uwe na kisirani.
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,416 Reaction score 16,603 Mar 9, 2025 #4 Dr Matola PhD said: Katika siku 365 siku moja tu ndio inakuuma hivyo? Subili sikukuu yako inakuja April mosi utasherehekea. Click to expand... Hahaaaa april fools
Dr Matola PhD said: Katika siku 365 siku moja tu ndio inakuuma hivyo? Subili sikukuu yako inakuja April mosi utasherehekea. Click to expand... Hahaaaa april fools
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2025 #5 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw