olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,572
Tangazo la coca cola kwenye kombe la dunia la mwaka 2010 (sina hakika sana)
Jamaa (mchepuko) yuko ndani na mke wa mtu, mwenye mke karudi ghafla, akajificha kwenye kabati la nguo, mwenye mke akakaa chumbani anaangalia mpira, Goli limefungwa jamaa akaanza kushangilia, mara gafla anaona mtu anatoka kabatini na chupi anashangilia (kumbe wanashabikia team moja)
Baada ya kumaliza kushangilia akarudi zake kabatini alafu akafunga tena mlango wa kabati. Mwenye mke akabaki anashangaa.