Matangazo (advertisement) makali ya kwenye TV

Kuna lile la Kiswahili la hili hapa:
 
Pia wakati wa kombe la Dunia "France 98" kulikuwa na matangazo makali sana wakati ule, yakiwemo lile la Air Tanzania the Wing of Kilimanjaro, Kazi kazi la Tusker lager na lile la TTCL wakiachana na mfumo wa zamani wa kutumbukiza shilingi ili kupiga simu kwenye Phone Booth na kutumia kadi, Total na mengine mengi mazuri.
 
Tangazo la airtel nazan lile la dukan jamaa anaulizwa una bei gan anasema jero,,anajibiwa s bora hyo jero chai na chapati
 
Tangazo la airtel nazan lile la dukan jamaa anaulizwa una bei gan anasema jero,,anajibiwa s bora hyo jero chai na chapati
 
Umenikumbusha tangazo lililo mfarakabisha Thiery Henry na mkewe back then in 2000's
 
Miaka 10 ya kuhudumia wateja wetu wa tanzaniaaa...

Tangazo la crdb kuna demu mkali anaimba huku akitembea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…