Matangazo Azam Tv ayapatikani!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Tangu saa tano asubuhi matangazo ya kisimbusi cha Azam Tv huku kwetu ukonga ayapatikaniki channel zote sielewi kwa sababu gani?

Ikiwa mwezi huu nimelipia 28,000 salio la mwezi nzima, sasa huku kama wateja wa hii kampuni tunajiuliza kulikoni au mzee
Bakhressa kachukia baada ya baadhi ya channel kufutwa kwenye kisimbusi chake cha Azam Tv Malumbano yao yanatuumiza sisi wateja na watanzania kwa ujumla

NAWASILISHA kwa niaba ya wateja wote tunaotumia ving'amuzi vya Azam Tv,,,,,, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0784108000 azam customer care.
Wapigie uwaelezee shida yako watakuelekeza cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…