mi napenda kujiachia ukificha ficha unakaribisha nafasi ya michepuko watajua uko single au ye single mwishowe unajikuta umeachwa kwenye mataa uwe na mpenzi hata kushikana mikono barabarani unaogopa kisa?