Namsoma mkuu Preta...wazo langu lafanana na lako...Siri ya mapenz ni kwa laghai au wezi wa mapnz au kwa namna yoyote...kuna hila ndani yake.
Vya sirini ni vya wizi...japo wanasemaga penz la wiz ni tamuuu..but mpaka lini wew utakula huku unahofu???
Jiachie kwa sababu...na achia ngazi kwa sababu(za wazi na zinazokubalika na wengi).