Sijui kwa upande wako ila kwa upande wangu sipendi kabisa matangazo pindi nikiwa na mpenzi. Fikiria siku mnaachana/mnamwagana utajisikiaje moyoni mwako au mbele za watu hasa unapoona picha au live action kutoka kwa x wako akiwa na new lover? .... kwa mfano hawa... ma x wao wanajisikiaje?