Ebo! Kizuri fanya hadharani....na kibaya fanya sirini....au Angalia upepo unakoelekea ndo ufanye uamuzi.
Me kila nikiliona humu jina tu la KIM NANA...kirrroooh kinapwita mbaya...nikifollow taswira ya Kim nana mkorea, ktk ile filam yao...du...mpaka basi.
Mzuri wa kila kitu..dura, umbo, tabia na mwenendo in general. Lifestyle yake inanipaisha stim daily.
Kim nana..mkuu, unaweza kuwa na interest na movies za kikorea, za mfumo wa SEASON....Unaweza kuwa doctor wangu tu kwa kunifahamisha matoleo mengne ya movie za kuvutia unazozjua wew, za kikorea za mfumo wa season.
Plz...naomba iyo habari kwa humu kama inafaa...na kama haifai humi basi uni pm...au..uni email. NITAKUSHIKURU SANA.