hao wanaokuza ila sio makampuni husika kwa maana hamna uhusiano wa 1 kwa 1 wa ile bidhaa/huduma unayotumia na mapenzi...labda uitumie kivyako..ile ni lugha ya matangazo lazima iwe na mvutoMkuu ila hao wanakuwa wamedhamiria
Huo mvuto unapatikana kwa kuhusisha sex!hao wanaokuza ila sio makampuni husika kwa maana hamna uhusiano wa 1 kwa 1 wa ile bidhaa/huduma unayotumia na mapenzi...labda uitumie kivyako..ile ni lugha ya matangazo lazima iwe na mvuto
jaza ujazwe...unajaza nini na wewe ujazwe niniHuo mvuto unapatikana kwa kuhusisha sex!
Nyegezi mwanzaNyegez!
@mabondaw huyu ni pacha wa mahondaw mkuu?? [emoji3]Ni wewe na tafsiri zako tu...
Cc: @mabondaw