Matangazo ya biashara na sex!

Matangazo ya biashara na sex!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Kampuni za kibiashara huja na maneno yenye kubeba hisia za mapenzi kwanini!!!

Maana super banco walikuja na kukuruka mwanangu bila kuchana godoro !

Coca cola wakaja na msisimko!

Tigo wamekuja na jaza ujazwe

Voda hatujakaa sawa wametupa pindua pindua!

Hebu tafakari matangazo hayo na mengine uyajuayo yana connection na mgegedo du!
Hi ni coincidence au planned!?
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Mkuu ila hao wanakuwa wamedhamiria
hao wanaokuza ila sio makampuni husika kwa maana hamna uhusiano wa 1 kwa 1 wa ile bidhaa/huduma unayotumia na mapenzi...labda uitumie kivyako..ile ni lugha ya matangazo lazima iwe na mvuto
 
sasa ww hujiulizi kwa nn unaweza kaa na simu toka asubui mpk usiku ila huwezi kaa na biblia nusu saa ukiisoma
 
hao wanaokuza ila sio makampuni husika kwa maana hamna uhusiano wa 1 kwa 1 wa ile bidhaa/huduma unayotumia na mapenzi...labda uitumie kivyako..ile ni lugha ya matangazo lazima iwe na mvuto
Huo mvuto unapatikana kwa kuhusisha sex!
 
Back
Top Bottom