Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

"Philips ndio yenyewe, sauti safi sauti kubwa, philips ndio yenyewe" Hili ni tangazo la mabetri aina ya Philips, kipindi kilikuwa kikiendeshwa na marehemu Julius Nyaisanga R.I.P. Umeme ulikuwa mijini tu.
 
Tangazo lile Jamaa anaita konda konda . Anaomba kupunguziwa nauli but nimesahau lilikuwa la kampuni gani. Lilikuwa zuri sana.
 
4e079e18d6aec71f9ab46ebc7acb1b2f.jpg
[emoji23] [emoji1] chai jaba
 
Tangazo la sabuni ya Mbuni, maziwa ya cowbell, Sabuni ya Revola, salama kondom hasa kwa vijarida vyake akiwa kalala kwenye reli Au kaweka kichwa kwenye mdomo wa mamba.
 
Matangazo yapo mengi sana ila matangazo ya COCA COLA ni mwisho wa yote mkuu.
Kweli mkuu matangazo ya coca cola ni shida hata hili LA Dogo yupo na Bro wake home anataka kuchukua earphones anapelea Bro anaichukua Dogo anahuzunika Lakini pale Dogo kukutana na wahuni Bro kajitokeza na kuwatimua daaahh then ana kuwa kama anataka kunywa na kughairi na kumpatia Dogo anaburudikaaaaa raha sana kulitazama
 
Afu kuna lile la protex early 2000s jamaa anakwambia omary ngwaraangwaraa
 
Embo jitokezeeeeew jionyesheeew simama mbele za watuuuuuuuuuuuuuu uu
Kiwiii noma
 
Safari asili yake,
Nchini Tanzania, iwe mchana iwe usiku..
Iwe kwa boti au kwa basi, kiangazi au masika.. Safari ni safari.
Safari Lager kilele cha ubora.
98,99 hukoo
 
Chai jaba, hakatwi mutu hapa (airtel), Baki njia kuu mchepuko sio dili

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
 
Back
Top Bottom