Matangazo ya Cocacola kwenye TV

lazma wakomae sana na matangazo mkuu huoni bakhresa anavyokimbiza na vinywaji vyake mtaani, kila mji ni azam kwa kwenda mbele, tena vinyaji vyake ni very cheap kabisa hadi vya sh 300 unapata. kwa hiyo coca lzma wakomae.
 
Cocacola siku zote wanatangaza sana

kabla hata ya bakhresa kuja

na hakuna anaejua nani ana lead kwa mauzo
 
lazma wakomae sana na matangazo mkuu huoni bakhresa anavyokimbiza na vinywaji vyake mtaani, kila mji ni azam kwa kwenda mbele, tena vinyaji vyake ni very cheap kabisa hadi vya sh 300 unapata. kwa hiyo coca lzma wakomae.
Ungekuwa Unajua Hata Azam Mwenyewe Anavyokimbizwa Na Mo Dewji Pamoja Na Wengine Kama Sayoni Usingemtaja Azam, Bakhera Kaanza Kutoka Hadharani Kupeleka Matangazo Hadi Clouds Unadhani Mchezo
 
Mimi lile tangazo lao la watoto wananyang'anyana coke halafu yule mwingine anaibetua wakati mwenzake anakunywa silipendi kwelikweli, linaniogopesha sana maana watoto wanaweza kuiga halafu ikawa majanga soda ikipita mahali pasipo husika mwilini..yaani ni vile sina uwezo wa ku li edit tu.
 
Hahahahaa acha uoga
 
Hahahahahhaha
 
mie lile nalipenda hatari....
yule mtoto na vidimpozi vyake basi ananifurahisha...
 
Mi cpendi yule kijana mdogo anavyonyanyaswa na kaka yake!
 
Lengo lao ni kuendelea kuikuza Brand yao.

Target ni watoto kuanzia Miaka 12 - 17

Hilo rika ni chambo, wanalitumia kuteka familia nzima.
Wanafanya matangazo kwa kuwatumia watoto na mambo wanayopenda kuyafanya ili wawavutie watoto wengine waiangazie soda yao.

Pia Wanalenga watoto kwa sababu utafiti unaonyesha watoto wengi ndiyo wanywaji wa soda.

Watu wazima hamlengwi sana kwasababu asilimia kubwa mna vinywaji vyenu vikubwa mpendavyo [emoji23]

Lakini pia wanawalenga watoto kwasababu ya Ushawishi mkubwa waliokuwa nao ndani ya familia.

Kitu kikipendwa na watoto nyumbani wazazi mnajikuta tu na nyinyi humohumo [emoji23] watu wenye akili zao wanajua kuutumia udhaifu huo vizuri.
 
Nani anaujua ule wimbo kwenye tangazo au maneno wanayotamka nidaidieni
Hey brother, there’s an endless road to re-discover
Hey sister, know the water’s sweet but blood is thicker
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do

Hey brother, do you still believe in one another?
Hey sister, do you still believe in love, I wonder?
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do

What if I’m far from home?
Oh, brother I will hear you call
What if I lose it all?
Oh, sister I will help you out
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do

Hey brother, there’s an endless road to re-discover
Hey sister, do you still believe in love, I wonder?
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do

What if I’m far from home?
Oh, brother I will hear you call
What if I lose it all?
Oh, sister I will help you out!
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
 
1886 - Drink Coca-Cola 

1904 - Delicious and Refreshing

1905 - Coca-Cola Revives and Sustains

1906 - The Great National Temperance Beverage

1917 - Three Million a Day

1922 - Thirst Knows No Season

1923 - Enjoy Thirst

1924 - Refresh Yourself

1925 - Six Million a Day

1926 - It Had to Be Good to Get Where It Is

1927 - Pure as Sunlight

1927 - Around the Corner from Everywhere

1929 - The Pause that Refreshes 

1932 - Ice Cold Sunshine

1938 - The Best Friend Thirst Ever Had

1939 - Thirst Asks Nothing More

1939 - Whoever You Are, Whatever You Do, Wherever You May Be, When You Think of Refreshment Think of Ice ColdCoca-Cola

1942 - The Only Thing LikeCoca-Cola is Coca-Cola Itself

1948 - Where There's Coke There's Hospitality

1949 - Along the Highway to Anywhere

1952 - What You Want is a Coke

1956 - Coca-Cola... Makes Good Things Taste Better

1957 - Sign of Good Taste

1958 - The Cold, Crisp Taste of Coke

1959 - Be Really Refreshed

1963 - Things Go Better with Coke

1969 - It's the Real Thing 

1971 - I'd Like to Buy the World a Coke (part of the "It's the Real Thing" campaign)

1975 - Look Up America

1976 - Coke Adds Life 

1979 - Have a Coke and a Smile

1982 - Coke Is It! 

1985 - We've Got a Taste for You (for both Coca-Cola & Coca-Colaclassic)

1985 - America's Real Choice (for both Coca-Cola & Coca-Colaclassic)

1986 - Red, White & You (forCoca-Cola classic)

1986 - Catch the Wave (forCoca-Cola)

1987 - When Coca-Cola is a Part of Your Life, You Can't Beat the Feeling

1988 - You Can't Beat the Feeling 

1989 - Official Soft Drink of Summer

1990 - You Can't Beat the Real Thing

1993 - Always Coca-Cola

2000 - Coca-Cola. Enjoy

2001 - Life Tastes Good

2003 - Coca-Cola... Real

2005 - Make It Real

2006 - The Coke Side of Life
2009 - Open Happiness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…