Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ipo kune animation ya spongebob square pant....krabby patty ndo nini?
Haha ndio mkuu...Du wewe na cartoon naona dam dam
HujanielewaUlivyoelezea ni as if watoto wana-influence maamuzi ya familia! Hili jambo siyo kweli kabisa! Kwani mzazi hawezi kumwambia mtoto kwamba hawezi kukubali kila jambo ambalo mtoto anaomba? Ilmradi mtoto aambiwe kwanini jambo haliwezekani, hakuna shida. Kama unaendesha familia kwa staili ya kukubali kila jambo ambalo mtoto analitaka, ni hatari sana kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako.
Haha sawa..Ntakualika tutazame Madagascar movies
Unaitwa "Brotherly Love, Mtu wa kwanza kuuimba ni Moe Bandy na baadae ukaimbwa na Wasanii wengine kadhaaa ni wimbo wa siku nyingi.Huu wimbo uliimbwa na nani?
Pepsi wana sehemu zao
Coca hawaweki miguu
Wanacheza na psychology tu pamoja na kuendeleza brand, wakiacha kutangaza watu watawasahau haraka sana, zitakuja brand mpya zitajitangaza sana watu watakaa watafikiri kua they are better, coke itasahaulika pamoja na kua hakuna mtu asiyejua coca cola.
Navosema psychology, watu wengi wakifikilia cocacola wanajaribu kui-relate na happy memories, kwenye matangazo mengi ya coca cola hua wanajaribu kujenga hiyo relationship, mfano tangazo lao moja familia wamekaa kwa furaha mezani wanakula pamoja wanaburudika na coca cola, au friends playing together then wanapozea na coke, au hata matangazo ya Christmas mara nyingi wanarelate Christmas na coke. Hii picha inawakaa watu, ikifika Christmas ukaona coke unafikiria furaha tu sababu ndicho kitu wamejaribu kukionyesha mara kibao hadi umekizoea.
Ni sawa na sababu kwa nini watu wenye maisha mazuri ni maarufu sana, kwa kua binadamu kawaida hua tunapenda kufantasize successful, tunapoona watu wanafurahi, maisha yao yako perfect tunapenda kujifanya kama wao. Tusiende kwa akina Kadarshian, muangalie Platnumz tu alivyobadilisha culture ya watu Tanzania. Haya matangazo unaweza usione effect ila they do work.
Nchi za Middle East Pepsi wana soko zuri sana tanguMfano? Nakumbuka TZ WAS one of those places ila sio sasa hivi.
Coke wapo juu wewe... wanazaidi ya miaka 100 sokoni hawa wengine watapita tuu...
kukujibu swali lako ni rahisa sana embu igia Google katafute (impacts of advertisements)
Kaka faida kubwa ni kukuza Brand yao katika fikra za watu..... Brand ikiwa kubwa na biashara ya Brand husika ina shamiri sana.Very true
lakini hujanijibu kuhusu bajeti na faida
manake wanatangaza saaana kupita kiasi
kila baada ta dakika tano utaona tangazo lao
Very true
lakini hujanijibu kuhusu bajeti na faida
manake wanatangaza saaana kupita kiasi
kila baada ta dakika tano utaona tangazo lao
Kuhusu Target Market yao waweza kupitia hapa watu wengine wamedadavua vyema.Hawa jamaa ni watu wa research sana na mambo yao yako very scientific ...
tungepata mtu wa kutuambia hasa wana target nini ingetusaidia....
jinsi wanavyo tawala matangazo ni jambo la kujifunza..
umeona humu kila mtu ina maana 'amefikiwa' na matangazo yao
Avicii & Conrad Sewell - Taste the FeelingUnaitwa "Brotherly Love, Mtu wa kwanza kuuimba ni Moe Bandy na baadae ukaimbwa na Wasanii wengine kadhaaa ni wimbo wa siku nyingi.