Matangazo ya Cocacola kwenye TV

Hiyo ipo kune animation ya spongebob square pant....

Ni formula ya siri sana[emoji1] inayotumika kutengeneza hizo krabby patty (ni kama buger flani hivi..)

Du wewe na cartoon naona dam dam
 
Hujanielewa
 
Na lile Tangazo la kwenye viredio, Diamond akiwa anaonja msisimko
 
Wanacheza na psychology tu pamoja na kuendeleza brand, wakiacha kutangaza watu watawasahau haraka sana, zitakuja brand mpya zitajitangaza sana watu watakaa watafikiri kua they are better, coke itasahaulika pamoja na kua hakuna mtu asiyejua coca cola.

Navosema psychology, watu wengi wakifikilia cocacola wanajaribu kui-relate na happy memories, kwenye matangazo mengi ya coca cola hua wanajaribu kujenga hiyo relationship, mfano tangazo lao moja familia wamekaa kwa furaha mezani wanakula pamoja wanaburudika na coca cola, au friends playing together then wanapozea na coke, au hata matangazo ya Christmas mara nyingi wanarelate Christmas na coke. Hii picha inawakaa watu, ikifika Christmas ukaona coke unafikiria furaha tu sababu ndicho kitu wamejaribu kukionyesha mara kibao hadi umekizoea.

Ni sawa na sababu kwa nini watu wenye maisha mazuri ni maarufu sana, kwa kua binadamu kawaida hua tunapenda kufantasize successful, tunapoona watu wanafurahi, maisha yao yako perfect tunapenda kujifanya kama wao. Tusiende kwa akina Kadarshian, muangalie Platnumz tu alivyobadilisha culture ya watu Tanzania. Haya matangazo unaweza usione effect ila they do work.
 


Very true

lakini hujanijibu kuhusu bajeti na faida
manake wanatangaza saaana kupita kiasi
kila baada ta dakika tano utaona tangazo lao
 
Coke wapo juu wewe... wanazaidi ya miaka 100 sokoni hawa wengine watapita tuu...

kukujibu swali lako ni rahisa sana embu igia Google katafute (impacts of advertisements)
 
Coke wapo juu wewe... wanazaidi ya miaka 100 sokoni hawa wengine watapita tuu...

kukujibu swali lako ni rahisa sana embu igia Google katafute (impacts of advertisements)

Inawezekana hujaelewa tunajadili nini
impact ya advertisement kila kampuni inajua but still coke wanatangaza zaidi
je kuna specific policy?
bajeti je?
 
Very true

lakini hujanijibu kuhusu bajeti na faida
manake wanatangaza saaana kupita kiasi
kila baada ta dakika tano utaona tangazo lao
Kaka faida kubwa ni kukuza Brand yao katika fikra za watu..... Brand ikiwa kubwa na biashara ya Brand husika ina shamiri sana.

Kufanikisha hili ni gharama kubwa sana. Ingawa lina faida kubwa kwa Brand husika.
 
Very true

lakini hujanijibu kuhusu bajeti na faida
manake wanatangaza saaana kupita kiasi
kila baada ta dakika tano utaona tangazo lao

Inategemea wanachukua njia gani kufanya advertisements, wanaweza kua wanalipa directly to the tv station, au hawafanyi hivyo instead wanakua kama co-sponsor wa kipindi fulani, mwenye kipindi analipa kurusha kipindi chake kwenye tv station say 1 hour, yeye ndiye ataweka matangazo ya kampuni zote zinazom-sponsor within that hour, so kama hana much content anaweza rusha matangazo yao mara nyingi zaidi kufidia, its a much cheaper alternative na makampuni mengi yanachukua hii route.

Cocacola is a profitable company,profit margins zao zinabadilika ila on average ni kama 20%, so Yes they do make profits regardless of spending so much, nadhani huge expenses ni moja ya vitu kama a big company you can't escape, hasa inayotegemea a brand name kama Coca cola.
 
Coca kuna tangazo lao moja hivi. Baada ya goli kufungwa jamaa anatoka ktk kabati na anakumbatiana na mtu anaemgegedea mkewe wakishangilia Goli
 
Kuhusu Target Market yao waweza kupitia hapa watu wengine wamedadavua vyema.

What is Coca-Cola's target market?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…