Shule ni biashara kama biashara nyingine hapo wanatafutwa wateja wake!, mfano unakuta shule ina wanafunz 300 na ada ikawa tsh 2,000,000/= ni sawa jumla tsh 600, 000,000/= hata ukitoa nusu yake tsh 300,000,000/=kwaajili ya runing cost lakin mwisho wa siku bado kinabaki kitita cha kutosha.