Mkuu hiyo miaka 15 nilikaa mtaa mmoja na watangazaji wa RFA, Kiss na Star TV .Bwiru Place karibu na Stanley .Aisee walikuwa na majina makubwa ila walikuwa na njaa kali sana wangeweza kula hata magodoro.Walikuwa wamerundikwa kwenye nyumba ya Diallo pale kama wapo hostel.Sijui shida ni nini kwenye Media.Miaka 15 nyuma mtu angekuambia redio kubwa kama RFA itakuja fikia hatua ya kurusha matangazo ya waganga usingeamini kabisa.