Matangazo ya michezo ya kubahatisha yadhibitiwa Kenya

Matangazo ya michezo ya kubahatisha yadhibitiwa Kenya

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Bodi ya kusimamia michezo ya kubashiri nchini humo imepiga marufuku matangazo ya kuhamasisha michezo hiyo kuonekana kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku

Aidha, matangazo hayo yamezuiwa kutangazwa mitaani, kwenye runinga na mitandao ya kijamii kwa wakati huo

Watu mashuhuri wamezuiwa kutumika kuhamasisha michezo hiyo

IMG_20190502_125641.jpg
 
Poleni wa kenye kwa kuchelewa kujua kero ya hayo madude sie tz kitambo sana sasa angalau waweza kaa kwenye kitako kuangalia tv
 
Ni vizuri mnooo ila watu wa Tv na Radio kenya kwao ni hasara, haya matangazo kwenye Tv zao yanaonyeshwa sanaaa
 
Back
Top Bottom