Ukiangalia black list yangu utacheka,maana sitaki ujinga mimi.Mara sakokwabako,tatu mzuka,voda taarifa wote wamekula tofari.Hakuna usumbufu tena kwenye simu yangu.Report spam
Block
Report
π€π
Nimezipiga block zoteKuna matangazo ya sms mengi kila siku yanaingia kwenye simu yangu. Je, kuna namna naweza kuyadhibiti?
Msaada tafadhali, yananichosha.