KERO Matangazo ya sms yananichosha

KERO Matangazo ya sms yananichosha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
34
Reaction score
75
Kuna matangazo ya sms mengi kila siku yanaingia kwenye simu yangu. Je, kuna namna naweza kuyadhibiti?

Msaada tafadhali, yananichosha.
 
Back
Top Bottom