Matangazo ya uongo ya uwekezaji yanayodai kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika soko la hisa DSE

Matangazo ya uongo ya uwekezaji yanayodai kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika soko la hisa DSE

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
TAARIFA KWA UMMA​
DSE imebaini matangazo bandia ya uwekezaji yanayodai kwa uongo kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika DSE.

Matangazo haya HAYAJARUHUSIWA wala KUIDHINISHWA na DSE

Usibofye.
Usishiriki.
Usitume pesa.

Daima hakiki taarifa za uwekezaji kupitia tovuti rasmi ya DSE na kurasa zake za mitandao ya kijamii zilizothibitishwa.
Imetolewa na Menejimenti ya DSE
​
1783321973827.png
 
Back
Top Bottom