Matangazo ya vifo yatolewe na ndugu na hati ya kifo iambatanishwe wakati wa kuposti JamiiForums

Matangazo ya vifo yatolewe na ndugu na hati ya kifo iambatanishwe wakati wa kuposti JamiiForums

Ndio ninaye tena humu jamii forums watu tukiwa tunajipanga tutawaelezaje watoto na mjane tukifanya siri ili tujipange tuweke mambo sawa kwanza ndio tuwapelekee taarifa tunashtukia hilo limesharushwa jamii forums hata cheti cha marehemu hakijatoka

Wametusababishia inconvenience kubwa tu
Inachukua muda gani kupata cheti cha kifo? Mbona magazetini hawaambatishi cheti cha kifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu

Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
Kaanzishe forum yako Lumumba kisha uwawekee hayo masharti unayoyataka wewe
 
Inachukua muda gani kupata cheti cha kifo? Mbona magazetini hawaambatishi cheti cha kifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Gazeti gani hilo?

Siku jambazi sugu anayetagfutwa na polisi akijiletea tangaxo la kifo wakati hajafa akakamatwa hajafa ndio siku hill gazeti litakuja imba haleluya na kujua umuhimu Wa kale kacheti ka kifo litakapounganishwa kwenye mtandao Wa majambazi
 
Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu

Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
CCM bwana mnataka kumiliki hadi vifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima upewe mamlaka na ndugu,ukifa ndio utajua!
Ni sawa lakini hujapewa mamlaka na ndugu wenye msiba kupeleka tangazo chombo cha habari chochote ikiwemo jamii forums
 
Sio lazima upewe mamlaka na ndugu,ukifa ndio utajua!
Mimi naitahadharisha jamii forums ambayo ni taasisi iliyosajiliwa sio Wewe uliyejificha kwenye ID fake tatizp likitokea taasisi ya jamii forums ndio itaumia Wewe utakuwa uko unalewa bar tu .
 
Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu

Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
Tuliza kijambio kocha mchezaji kaingia kama sub.

Anayajua makosa ya CCM.
Ana balance equilibrium.

Kama wadhani maiti ni mali ya ndugu wawe wanazika ndani ya nyumba.

Kufunga mipaka ilikua ni option simple!! Nyie mkaona mnamkomoa MBOWE..

Hiyo ni trailer tukutane chato.
 
Weka vifungu vya sheria acha porojo zako
Mimi naitahadharisha jamii forums ambayo ni taasisi iliyosajiliwa sio Wewe uliyejificha kwenye ID fake tatizp likitokea taasisi ya jamii forums ndio itaumia Wewe utakuwa uko unalewa bar tu .
 
Mimi naitahadharisha jamii forums ambayo ni taasisi iliyosajiliwa sio Wewe uliyejificha kwenye ID fake tatizp likitokea taasisi ya jamii forums ndio itaumia Wewe utakuwa uko unalewa bar tu .
Hilo tatizo haliwezi kuisimamisha corona!
 
Kwa hiyo YEHODAYA ukiwa member mwenzetu hapa ukifa tusipate taarifa.

Acha tupeane habari wengine ni wadeni wetu,hii inaruhusiwa kuweka tangazo.

Sent using iphone pro max
 
Maiti haimilikiwi na ndugu.
Maiti sio property wewe pimbi.
Maiti ni property ndio maana ukisafirisha kwa ndege wanauliza Nani mwenye hii mali inaitwa human remains ,unaulizwa who is the owner?
 
Ccm bwana kila kitu mnataka kukifanya siri.
Mwigulu alishauri tusitangaziwe wanaoumwa au kufa kwa corona, tcra wakatuambia ni marufuku kupeana taarifa za majanga kwa njia ya simu, vyombo vya habari ndio haviruhusiwi kutangaza au kuandika taarifa za kiuchunguzi, jiwe akatuambia anatamani malaika ashuke aizime mitandao yote ya kijamii na wewe mtoa mada hautaki tupeane taarifa za misiba.
Ni kwanini mnapenda kufanyia mambo yenu gizani? Kakika nyie ni mashetani kwasababu shetani ndio anapenda kufanyia mambo yake gizani kwasababu yeye ni wa gizani daima
 
Kwa hiyo YEHODAYA ukiwa member mwenzetu hapa ukifa tusipate taarifa.

Acha tupeane habari wengine ni wadeni wetu,hii inaruhusiwa kuweka tangazo.

Sent using iphone pro max
Ndugu watoe taarifa na cheti waambatanishe
 
Back
Top Bottom